Warioba kukabidhi Rasimu ya Pili ya Katiba kwa Rais Desemba 30

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
1,500
Tume ya Katiba inayoongozwa na Jaji Mstaafu Joseph Warioba imetangaza kuwa itakabidhi rasmi rasimu ya pili ya katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Desemba 30 mwaka huu kwa Rais Kikwete na Makamu wake Dr Billal pamoja na Rais wa Zanzibar Dr Shein.

Baada ya kukabidhi rasimu hiyo, Tume itakuwa imefikia ukomo wake rasmi baada ya Wabunge kushikia bango kuvunjwa kwa tume hiyo baada ya rasimu ya pili kukabidhiwa. Kwahiyo Tume itabunjwa rasmi mara baada ya makabidhiano hayo huku tukisubiri Bunge la Katiba kuteuliwa na kisha baadae Kura ya maoni kufanyika.
 
Chris Lukosi

Verified Member
Aug 23, 2012
4,584
2,000
Katika vitu vikubwa ambavyo Tanzania itamkumbuka Daima Rais Kikwete ni pamoja na haya yafuatayo
BARABARA ZA LAMI KILA KONA MPAKA BOMBAMBILI
KATIBA MPYA
UDOM
UHURU WA HABARI

Hayo hapo juu hata viroba waseme vipi lakini moyoni wanamkubali sana tu
 
bibikuku

JF-Expert Member
Feb 16, 2011
832
195
Hivi warioba haingii Bunge la Katiba???Hawa wabunge wa CCm wamefanya ufedhuli wa hali ya juu kisa muungano wa serikai tatu duh
 
Lawkeys

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
1,118
1,500
Katika vitu vikubwa ambavyo Tanzania itamkumbuka Daima Rais Kikwete ni pamoja na haya yafuatayo
BARABARA ZA LAMI KILA KONA MPAKA BOMBAMBILI
KATIBA MPYA
UDOM
UHURU WA HABARI

Hayo hapo juu hata viroba waseme vipi lakini moyoni wanamkubali sana tu

Chris

Kila kitu sasa unataka kukiCCMisha. Sidhani kama thread hii inakishwa "vitu vikubwa ambavyo Tanzania itamkumbuka Daima Rais Kikwete". Kama unataka hii hoja ijadiliwe ni busara kuanzisha thread mpya kuliko kudandia ya mtu mwengine alafu ukaanzisha mambo unayoyajua wewe.

Asante kwa kuelewa mkuu
LawKeys
 
Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
1,500
Katika vitu vikubwa ambavyo Tanzania itamkumbuka Daima Rais Kikwete ni pamoja na haya yafuatayo
BARABARA ZA LAMI KILA KONA MPAKA BOMBAMBILI
KATIBA MPYA
UDOM
UHURU WA HABARI

Hayo hapo juu hata viroba waseme vipi lakini moyoni wanamkubali sana tu

Ndugu yangu hebu fumbua macho:

1. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Kigoma na Katavi ama Kigoma na Rukwa?
2. Kuna barabara ya lami ikunganisha mikoa jirani ya Kigoma na Kagera?
3. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Mtwara na Ruvuma?
4. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa irani ya Morogoro na Ruvuma?
5. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Mbeya na Tabora?
6. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Tabora na Katavi?
7. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Dodoma na Manyara?
8. And the list goes on and on..............

Usidanganywe na hotuba za majukwaani ndugu yangu fumbua macho
 
chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
2,000
Ndugu yangu hebu fumbua macho:

1. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Kigoma na Katavi ama Kigoma na Rukwa?
2. Kuna barabara ya lami ikunganisha mikoa jirani ya Kigoma na Kagera?
3. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Mtwara na Ruvuma?
4. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa irani ya Morogoro na Ruvuma?
5.And the list goes on and on..............

Usidanganywe na hotuba za majukwaani ndugu yangu fumbua macho

Umeme kuwa historia naKutoa(minus) ajira kwa vijana.

Safai za nje ya nchi, mwezi huu tu amekaa nchini siku 5 tu
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,523
2,000
Katika vitu vikubwa ambavyo Tanzania itamkumbuka Daima Rais Kikwete ni pamoja na haya yafuatayo
BARABARA ZA LAMI KILA KONA MPAKA BOMBAMBILI
KATIBA MPYA
UDOM
UHURU WA HABARI

Hayo hapo juu hata viroba waseme vipi lakini moyoni wanamkubali sana tu
barabara ya lami kila köna? Huo ni upuuzi mtupu, mbona toka mbinga kwenda mbambabay ni vumbi? Mbona Nyoni-mpepo ni vumbi? Mbona Nyoni-maguu ni vumbi?, mbona Namtumbo-tunduru ni vumbi? Mbona Njombe-makete ni vumbi? Huo ni ubabaishaji mtupu! Mwaka 2015 ccm kusini ijiandae kulia!
 
Shackshake

Senior Member
May 27, 2013
187
0
matibabu bure,,,maji dar ni history .,,barabara za juu na chini safiiii.,,,maisha bora,...,elimu bure yan chichiemu oyeeeee,,.mwananchi now anaishi Kwa dola kumi Kwa siku,,,,umeme bureeee
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
barabara ya lami kila köna? Huo ni upuuzi mtupu, mbona toka mbinga kwenda mbambabay ni vumbi? Mbona Nyoni-mpepo ni vumbi? Mbona Nyoni-maguu ni vumbi?, mbona Namtumbo-tunduru ni vumbi? Mbona Njombe-makete ni vumbi? Huo ni ubabaishaji mtupu! Mwaka 2015 ccm kusini ijiandae kulia!
Mkuu, upuuzi uko wapi? Au kwenu hakuna barabara?
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
matibabu bure,,,maji dar ni history .,,barabara za juu na chini safiiii.,,,maisha bora,...,elimu bure yan chichiemu oyeeeee,,.mwananchi now anaishi Kwa dola kumi Kwa siku,,,,umeme bureeee
Hata kama utaongea kwa dhihaka, ukweli unabaki kuwa JK kafanya kazi kubwa sana
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Umeme kuwa historia naKutoa(minus) ajira kwa vijana.

Safai za nje ya nchi, mwezi huu tu amekaa nchini siku 5 tu
Tunatandaza bomba la Gesi toka Mtwara hadi kinyerezi. Mradi ukikamilika, tatizo la umeme litakuwa historia
 
mbinguni

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
2,428
2,000
Utamkumbuka na familia yako.
Katika vitu vikubwa ambavyo Tanzania itamkumbuka Daima Rais Kikwete ni pamoja na haya yafuatayo
BARABARA ZA LAMI KILA KONA MPAKA BOMBAMBILI
KATIBA MPYA
UDOM
UHURU WA HABARI

Hayo hapo juu hata viroba waseme vipi lakini moyoni wanamkubali sana tu
 
Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,829
1,750
Ndugu yangu hebu fumbua macho:

1. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Kigoma na Katavi ama Kigoma na Rukwa?
2. Kuna barabara ya lami ikunganisha mikoa jirani ya Kigoma na Kagera?
3. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa jirani ya Mtwara na Ruvuma?
4. Kuna barabara ya lami ikiunganisha mikoa irani ya Morogoro na Ruvuma?
5.And the list goes on and on..............

Usidanganywe na hotuba za majukwaani ndugu yangu fumbua macho

chris yuko ughaibuni atazijulia wapi barabara za Tz?
 
Kajunjumele BA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
673
195
Katika vitu vikubwa ambavyo Tanzania itamkumbuka Daima Rais Kikwete ni pamoja na haya yafuatayo
BARABARA ZA LAMI KILA KONA MPAKA BOMBAMBILI
KATIBA MPYA
UDOM
UHURU WA HABARI

Hayo hapo juu hata viroba waseme vipi lakini moyoni wanamkubali sana tu

Ndugu yangu Chris Lukosi kwa hilo la KATIBA MPYA hapana tuwe wa kweli ni mapema mno kwasababu hoja hapa siyo Katiba Mpya bali Katiba Mpya inayo zingatia matakwa na kulinda Maslahi ya Nchi na wananchi wote na kuhakikisha usimamizi bora wa Raslimali za nchi kwa kuimarisha Uhuru na ushiriki wa wananchi katika utendaji na uendeshaji wa Vyombo vya Maamuzi.

Jana tu kama sikosei kudhihirisha tu kwamba katiba Mpya ni kiini Macho kwa njia ya Sarakasi kupitia Kamati ya Bunge Serikali inataka kudhibiti haki ya wananchi kujieleza kwanamna wanavyo ona inafaa kwa kuanzisha sheria za ajabu ajabu kuhusiana na Haki za Maandamano na Mikutano ya Kisiasa.
Ghafla mwingine anakataa kuboresha Daftari la wapiga kura ili kuhakikisha wanawanyima vijana fursa ya kupata haki zao za kushiriki kufanya maamuzi muhimu ya kuamua mustakabali wa Taifa kuhusiana na KURA YA MAONI YA KATIBA MPYA.
Tusubiri tuone

LET US NOT COUNT THE CHICKS BEFORE THEY HATCH BRO.
 
CHADEMA hamko serious na suala la katiba, kama katiba yenu imechakachuliwa na nyie mnaona, je hii ya taifa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom