Warioba kanibadilisha!!

Warioba kanibadilisha!!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1395157736.801087.jpgwapi tanganyika yetu?
 
Mimi ni Mtanzania, nina miaka 56 na hadi sasa sijaona faida hata moja ya muungano. Ulofa tu wa kutaka mtu atukuzwekwa ajiliya upumbavu wake. kaama kuna mwanaJF wa umri wangu aseme yeye kafaidi nini zaidi ya propaganda za kipuuzi za viongozi wetu walafu wa madaraka.
 
sizijui faida zaidi muungano wala hasara zake endapo utavunjika, sanasana naona shida iko kwa wapemba waliowekeza bara.
 
Back
Top Bottom