Warioba: Hotuba zetu kwa wananchi hazikidhi.Tuwasikilize kwanza wananchi

Ndo nakwambia hata yeye anaongea hayo kwakua tayari hana cha kupoteza,sina imani alipokua waziri mkuu alikua anayaishi hayo anayoyaongea Leo.Au alipokua jaji mkuu alikua akitenda haki kwenye hukumu zake.
Elewa kiswahili mbona hao wazee wengine hawaongei na wakati watoto wao wapo kwenye system tayari?
 
Huyu mzee hajawahi kuniangusha,,Yupo real sana.. huwa hana unafiki
 
Yaani ndugu ukiona kila mtu anamngoja Rais ndio atatuliwe kero(na ndo walishazoeshwa), basi pia inaonyesha jinsi mifumo yetu iliyopo ya kutatua matatizo/kero/changamoto zinazowakabili wananchi imefail ...na inahitaji ' overhaul..
Pia zaidi zaidi ukiwapa nafasi kubwa wananchi ndo wawe watoa kero zao moja kwa moja,ndo hapo utasikia Mara Mimi nimebakwa,kesi iko mahakamani anataka rais aingilie kati,Mimi Jana nimelala njaa,n.k
 
Acha ujinga na ungwini! Kiongozi hawezi kudodosa maana huo muda hana. Au unataka akae pahala ili aanze kusample scientifically wananchi etc kwa vyoyote vile hiyo itakuwa ni biased study. Hukunielewa kijana
UVCCM acha matusi, tetea hoja

Kwani hukuona pia Mwendazake alisikiliza baadhi ya wananchi?
 
Hotuba kuhusu kudemka na vichokochoko nani anataka huo kusikia huo ujinga!? 😫😫😫

Mzee Warioba ameshauri kupunguza muda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.

Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.

Kwa kifupi mikutano ya Kiserikali imekuwa kama ya kampeni
 
Back
Top Bottom