Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
mkuu usiumize kichwa,huyu dogo atakua wa 96 huko,atakuchanganya bure!Upuuzi kama huu ndiyo unaoifanya JF ionekane kijiwe cha wajinga !Mtu mzima anakurupuka kama vile mlevi.
MODS;uhuru wa mawazo usifike mahali ukakosa heshima.
Tabia hii chafu na ya kijinga ya kuwa dhalilisha watu waliopewa dhamana na wananchi na mbaya zaidi mtu moja kushambuliwa na wajinga wasiofikiri sawa haikubaliki kwenye jamii .Ni vizuri Jf ikalinda heshima na Ustaarabu kwenye Michango ya Members.
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Nina mashaka na mleta uzi, Warioba katumwa kukusany maoni na wenzio unayaona siyo halisi sasa tuvunje bunge tukusanye upya. Tuite wakenya waganda wanyarwanda tupate wajumbe waje wakusanye upya maoni kama hutaumbuka. Ubaya wenu mwisho wake aibu
Ashtakiwe halafu anyongwe
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Watanzanyika ndio wa wapi?
Upuuzi kama huu ndiyo unaoifanya JF ionekane kijiwe cha wajinga !Mtu mzima anakurupuka kama vile mlevi.
MODS;uhuru wa mawazo usifike mahali ukakosa heshima.
Tabia hii chafu na ya kijinga ya kuwa dhalilisha watu waliopewa dhamana na wananchi na mbaya zaidi mtu moja kushambuliwa na wajinga wasiofikiri sawa haikubaliki kwenye jamii .Ni vizuri Jf ikalinda heshima na Ustaarabu kwenye Michango ya Members.
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
uelewa wako ni mdogo sana.Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo vya usalama tu na itajiendesha kupitia michango ya wanachama yaani Tanganyika na Zanzibar. kuweka mawazo mfu eti itaruhusiwa kukopa kutoka mashirika mbalimbali wakati haina sifa zaidi ya kumiliki vifaru na ndege za kivita. wanadai ni mapendekezo ya wananchi wakati najua tukianzia hapa members wa jamiiforum kama sio unafiki waliohojiwa na tume ya Warioba hawazidi asilimia 10, leo hii anaongelea mawazo ya jamaa zake na kuwalisha watanzania uongo! tarafa yangu ya kimwani hukufika kabisa!!!!!:nod: Sasa huyu mzee na wapambe wake kwa nini wasishitakiwe kwa uhaini wa kutaka kupindua nchi na kuvunja muungano kupitia upotoshaji huu?
TANZANIA NCHI YANGU NAKUPENDA POPOTE NTAKUTETEA WAZIWAZI BILA KUPEPESA MACHO WALA KIJIFICHA.
Ashtakiwe halafu anyongwe
Ashtakiwe halafu anyongwe
Sidhani kama kuna siku nitaikana Tanzania yangu!
wewe utakuwa umelogwa au huenda si mtanzania mtu wa kigali wewe. sisi Watanzanyika tuko timamu na sio wajinga. ujinga upo nchini kwenu.