FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Lazima tumpe tuuu sio na magonjwa ukishazeeka kama wewe lazima yaje tuuu
Twataka mweny maamuzi magumu sio siasa mpaka mambo ya muhimu
TeamLowasa kwa sana nahitaji kura yako ...asante sana bibi yangu
Umekielewa ulichokisoma?
Mtu ambae anasahau mpaka jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo bado tu tumpe urais?
Huyo hata mjumbe wa nyumba kumi hafai kupewa kwa hali yake aliyonayo.