jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,196
- 1,940
Mzee mwenye hekima, busara, akili na maono makali ya wapi taifa hili linapaswa kwenda na nani awe dereva sahihi wa safari hii, jaji mstaafu/ waziri mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba kwa mara nyingine tena leo katika kampeni za mgombea urais wa CCM mkoani Mara amesema watanzania tumchague Dr. JPM sababu ni muadilifu, mchapa kazi na hana kashfa za ufisadi.
Sasa sijui BAVICHA ya Lowassa watasemaje hapa maana walidhani mzee ni mpumbavu atawaunga mkono katika 'mabadiliko' hasi yao!
Huyu mzee si wa kununuliwa hata kidogo.
Ni hayo tu!
WATANZANIA TUSHASEMA HATUMCHAGUI LOWASSA.