Warioba Anataka Nini Hasa?


umetokea wapi saa hizi wewe? ulikuwa wapi muda wote huo tokea maoni yanachukuliwa? ulikuwa wapi wakati jakaya kiwete anamteua warioba? mbona hukumshauri amteue mzee john malecela awe mwenyekiti wa tume? ulikuwa wapi sema? umetoka kukameruniwa ndo unakuja kuoshea t a k o hapa? huna haya wewe kubwa jinga hili
 
Serikali mi mbili tu bac warioba mwenyewe kavaa joho la shujaa wa muungano sasa unasemaje c angegoma kama yy mwanaume,njaa tu ilimsumbua akabeba maoni ya wapenda fedha
 
[video=youtube_share;5gvZyIJkTFY]http://youtu.be/5gvZyIJkTFY[/video]
 
Asingefanya alichokifanya wala msinge mwandika humu
 
W. J. Malecela umemuelewa dada FaizaFoxy?
 
Last edited by a moderator:

Kumbe unapovua green uniform huwa unamwaga mantiki. Kuanzaia sasa nitakuwa nakusoma tena kusudi nifaidi zile post zako ambazo unakuwa kwenye white uniform kama hii; zile za kwenye green uniform ya Magogoni zilizojaa mipasho huwa zina pumba nyingi sana.
 
ukawa leo live on stage... Sasa subiri wazee wamwage chumvi hapo sijui mtatokea wapi leo??? Si mmeng'ang'ania serikali mbiliiii!!! Sasa dawa inapatikana leo kibanda maiti. Karibu usikilize yakuingie uelimike.
 
Achen upimbi hoja za warioba zinaeleweka sana sasa naona mnajitoa ufahamu jibuni maswali yake saba sio mnabwabwaja
 

Hebu muwe na adabu basi kwa huyu mzee haiwezekani mumwombe mtu awafanyie kazi tena kwa uaminifu mkubwa kiasi kile leo hii hamna hata shukrani matokeo yake mnamtukana mzee wa watu hadharani namna hii
Nasema tena MUWE NA ADABU KWA MZEE WARIOBA
 
Hakuna kitu kibaya kama umasikini wa fikra na hufanya tuwe masikini yaani unakaa afu unaandika utumbo..duh!
 
- Warioba anajua kwamba bungeni kwenye uamuzi hakuna kura za Serikali 3 sasa anapigania nini hasa? Mimi naomba kusema wazi bila kuficha sina heshima na kiongozi yoyote anayeshauri kuvunja Muungano, ili u-replace na nini hasa?

Le Mutuz System
Wacha kumlisha maneno ya Uongo Mzee wa watu wewe, wapi kasema anataka kuuvunja Muungano?
Amezungumzia kua kulikua na Option tatu;
1) Serikali Moja (Ya Muungano tu),
2) Serikali Mbili (Kama zilivyo sasa) na
3) Serikali Tatu (Mnayoikataa)

Hakuna aliposema kila mtu afe na chake (Muungano Ufe)
 
Sasa nyinyi Ccm mbona amtaki kujitambua mumeng'ang'ania warioba anataka kuvunja muungano mbona hamjibu hoja za warioba nyinyi maccm, Munakazi ya kutuaminisha kuwa warioba anataka vunja Muungano. Kama nyinyi munania ya kuulinda muungano aliouwacha baba wa taifa na karume basi turudini kwenye serikali moja kwa kuwaambia wazanzibari waondoe katiba ya zanzibar maana ile ndio itakuwa kama upawa wa kuamisha mamlaka yaliyo kwenye muungano kupeleka zanzibari na mwisho wa siku muungano hautakuwa salama.
 
Mnajua mtawatisha wananchi lakini kama msipowatisha jiandaeni kuaibika, nimetoka mikoa miwili ya kanda ya ziwa na nilikuwa vijiji wananchi wengi wako upande wa serikali 3, wao wanadai kama ni muungano wenye tija basi twende seriali 1, na siyo 2 kama imeshindikana wanataka Tanganyika yao.

 
- Soma tena mada kaka hapa sijauliza credibility ya Warioba ninauliza anataka nini maana anayoyafanya sio madogo anatafuta nini hasa?

Le Mutuz System
Je wewe unatafuta nini kwa kumuandama andama mzee wetu? Sijui kama unakumbuka kuwa wakati mzee John (nadhani baba yako mzazi) akiwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais chini ya Alhaj Mwinyi bunge la jamhuri lilipitisha kuihuisha Tanganyika toka koti la Tanzania. Sasa cha ajabu kwa Warioba ni nini wakati yeye anafafanua kazi aliyoifanya baada ya kuona mazuzu wanaipotosha?
 
Muongo ni muongo tu mkuu, hata simba anaweza kusema MBUZI japo mbuzi ana pembe. Mwenyezi Mungu anawaumbua sasa na wananchi tunawafahamu vema hawa.
 
[video=youtube_share;5gvZyIJkTFY]http://youtu.be/5gvZyIJkTFY[/video]

Faiza, umewemleta hapa huyu kihiyo na hoyuba yake ili abishane na Malechela au Warioba?
maana vitu anavyoongea yeye mwenyewe haelewi anasema nini!!
" Mambo wanayoyataka wa Zenji watawapa!" siku zote walikuwa wapi kuwapa?
Inakuwaje ZNZ ndo wapewe, wasio wa Zenji je?
 


Rais wetu mtukufu oyeee, udumu kwenye kiti chako milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…