Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Warioba yeye lengo lake ni kuvunja nchi halafu matakwa yao yaweze kutimia kadri wanavyotaka na jamaa zake japo siamini kama atafanikiwa katika hili huwezi kusema maoni ya wananchi halafu ukaendelea kuwasemea watu wenye maoni yao.
huyu mzee anachoshangaza ni kitendo cha kusema watanzania wanataka serikali tatu wakati wapo wanataka serikali mbili na wengine moja lakini pia wapo wanataka mkataba yeye hili hitimisho la serikali tatu kalito wapi.
Warioba kaenda kama mwananchi wa kawaida na kama waendavyo kina Sabato na wasomi uchwara wengine so kila mtu anajua mnamgwaya kwakuwa anatibua vitumbua vyenu vya kifalmeUmeona salim akienda kwenye tv kuongea?anayoyaongea warioba kwenye tv ni maoni yake au ya tume?
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?
- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?
- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?
- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?
- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!
- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?
Le Mutuz System

- Tatizo hata Warioba hawezi kujibu hoja za Serikali 2, uamuzi wa wananchi Warioba sio msemaji wao ndipo ninapopata shida kumuelewa ninaamini ana washauri siajui wanamshauri vipi maana this is more than maoni now!!
Le Mutuz System
- So unaona kumbe kabla ya kuandika huwa unaomba ushauri wa baba yako sasa unataka wote hapa tuwe kama wewe? ha! ha! ha! Umaarufu? Nilipokuwa ninazaliwa Baba yangu alikuwa Mkuu wa Wilaya so umaaurufu ni wa kuzaliwa nao kaka, ha! ha! ha! ha!
Le Big Show
Mkuu, siku hizi inakera kusikiliza taarifa za habari. Hakuna kituo/radio ambayo haitakuwa na habari za CCM za kunadi serikali mbili, huko ZBC ndio balaa tupu.amealikwa kwenye kipindi kama viongozi wengine....kwanini iwe nongwa kwake?,prof baregu alikuwa ijumaa kwenye kipima joto,prof kabudi na baadhi ya wajumbe walishawahi kuwa kwenye general on monday.tatizo ccm wanataka kusikia mambo wanayoyapenda.acheni mh.warioba ametupa darsa muruwa.nendeni na nyie amkatoe hoja zenu.
Sijui ni malezi au nini!!!!! Mpaka mzee Kingunge kaongea na kuwaasa waache upuuzi wa kumshambulia mzee Warioba bado pana vijukuu vinatutumka tu, aibu sana.Kama yeye siy msemaji wa wananchi iweje mumshambulie Warioba binafsi na siyo wananchi au wajumbe wenzuye wa Tume?
Onyo Kingunge kaisha waonya haswa ninyi vijana mnaomshambulia Warioba.
wewe ndo hovyo kama makalio yako.Ndiyo maana hata serikali ilimshinda wakati akiwa waziri mkuu mpaka akajiudhuru wadhifa wake ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa wanaopenda kulazimisha mambo hata kama hayana maana yapite.
Kama na sura zingine wataendelea kumshambulia Warioba basi nitaamini kwamba ana matatizo lakini kama sura zingine watapunguza jazba basi tatizo litakuwa WALITAKA MAMBO WANAYOYATAKA WAO kwenye muundo wa serikali. Unajua walijipanga kwenye mabaraza ya kata ambao wajumbe wengi ni wao na mzee akashituka majibu yanafanana akayapotezea (hapa ndio shida na ndio maana wanang'aka maana wanajua nini kilichomo kwenye mabaraza ya kata, hata NECTA wakikuta majibu yanafanana wanafuta matokeo). Kwa kuwa rasimu ya katiba imepokelewa na serikali maana yake ipo sawa maana amekusanya kile ambacho kilikuwemo kwenye term of reference / adidu za rejea vinginevyo angerudishwa field kukusanya more info.amealikwa kwenye kipindi kama viongozi wengine....kwanini iwe nongwa kwake?,prof baregu alikuwa ijumaa kwenye kipima joto,prof kabudi na baadhi ya wajumbe walishawahi kuwa kwenye general on monday.tatizo ccm wanataka kusikia mambo wanayoyapenda.acheni mh.warioba ametupa darsa muruwa.nendeni na nyie amkatoe hoja zenu.
Nilitarajia kuwa ungekuja hapa kutueleza anachokitaka Warioba.
Kwa kukusaidia ni hivi; Nenda kwa aliyewafundisheni kumshambulia na kumtukana Warioba halafu akawaacheni solemba na kwenda kumpa Nishani katika siku ya Muungano. Muulize hivi yeye na Warioba wana Agenda gani ambayo iliyojificha wasiyotaka watanzania wengine wajue?
Tena umuulize Je, Mafundisho aliyowapa ya kumshambulia Warioba ilikuwa ni kipimo cha akili kwa wana CCM kama walilielewa somo la kuwa za kuambiwa changanya na zako?
Tena usisahau kumuuliza kuwa je, aliposema mjiandae kisaokolojia, alimaanisha nini? Maoni ya wananchi au chenga za mwili na namna atakavyowalisheni matango pori na kuwaacha solemba? Na umuulize yeye yupo wapi hasa, Upande wa Warioba/wananchi au wa wahafidhina wa Chama.
Please do so na utujie na majiu utakuwa umetusaidia sna Mkubwa.Yangu ni hayo tu.
Wasalaam.
Mwanzisha mada huna credibility ya kumkosoa Warioba. We ni mchanga sana kitaaluma, kiitikadi, kimaono, kifikra, kiuzoefu, kiumri, kiuzalendo na kila kitu humfikii katu, jana tu alikuwa live dak 45 mbona TANESCO walizima umeme?
Mnaweweseka sana maCCM na aluta continua tunasongesha.