Dah, story tamu sana, tena hiyo style ya frash back nimeipenda zaidi. Natumaini wengi wetu tumeifurahia basi ni ombi tu kwa wale watunzi wa story sio mbaya kuwa mnatupa burudani kama hizi hata mara moja kwa wiki. Thankx Mwanakijiji.
Zamani nilikuwa ninapenda hadithi ndefu sana lakini hii JF imeniharibu siku hizi riwaya ndefu hata siwezi kusoma tena..........................ila zile fupifupi tu..............
Zamani nilikuwa ninapenda hadithi ndefu sana lakini hii JF imeniharibu siku hizi riwaya ndefu hata siwezi kusoma tena..........................ila zile fupifupi tu..............
mwanzoni nilipokuwa nasoma hii story nilijijengea mazingira ya kuwafahamu sosi na suma kwa sababu mimi mwenyewe nimesoma huko karatu sekondari miaka hiyo, dah tamu kweli kweli, nahisi we mzee m ni jiniaz