Ndio hivyo tena mkuu! Biashara ya ndizi mbivu, lakini zimesha tolewa maganda kabisa, sijuwi kama zitalika. Lazima zitakuwa zimejaa vumbi na mainzi wamesha zing'ong'a sana. Mimi sizitaki.
Ngoja wachiachiie wakifikiri dili, baadaye kwa sangoma kwanini hawaolewi, hii ni kutokana na mantiki kuwa yawezekana wasiwe malaya lkn muonekano kama huo ukamhamisha muoaji kifikira.