Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 754
Nadhani unamaanisha kulia au hoyo wa kushoto aliesinzia ndio kakukuna ?nimempenda wa mwanzo kabisa kushoto!!!
she is beautiful!!!!
aliyevaa nguo ya rangi ya cream na ameshika leso mkononi,, dah ni mzuri, i wonder what z she doing hapo, badala ya kutulia na mume!!!! i knw hakocc mtu huyuu anayempenda kwa dhatiiii"""!!!! dah nimemkubalii saanaaa, natamani nionane naye uso kwa uso!!!Nadhani unamaanisha kulia au hoyo wa kushoto aliesinzia ndio kakukuna ?
wanampango wa kuanzisha miss kitaa, miss nyumba kumi, miss familia mahali ambapo hata shetani atawakana dada zete.hivi jamani siku hizi mabinti zetu hawana ubunifu mwingine wa kufanya zaidi ya mashindano ya urembo? yaani inaboa kupita mipaka. kule kulikotokea mashindano ya urembo (nchi za nje) hawana ulimbukeni kama wetu- eti mara miss kitongoji, mara miss temeke, mara miss sharobaro na upuuzi mwingine.mabinti tafuteni ubunifu mwingine, tumewachoka. isitoshe wengi wenu mna mvuto wa kulazimisha. manywele bandia na mikorogo kibao. wengine miguu kama korongo a.k.a spoko za baiskeli.
wanapofanya mashindano haya wakati wengine wabaya mi naona uchuuuuuungu.AISEEE bongo kuna warembo..yaani naona utaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamu...:dance:
nimempenda wa mwanzo kabisa kushoto!!!she is beautiful!!!!
hivi jamani siku hizi mabinti zetu hawana ubunifu mwingine wa kufanya zaidi ya mashindano ya urembo? yaani inaboa kupita mipaka. kule kulikotokea mashindano ya urembo (nchi za nje) hawana ulimbukeni kama wetu- eti mara miss kitongoji, mara miss temeke, mara miss sharobaro na upuuzi mwingine
mabinti tafuteni ubunifu mwingine, tumewachoka. isitoshe wengi wenu mna mvuto wa kulazimisha. manywele bandia na mikorogo kibao. wengine miguu kama korongo a.k.a spoko za baiskeli.