Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

WANAWAKE TUNAPENDA WANAUME WEMA!
HATUPENDI WANAUME WEMA SANA!

mwanaume huna team ya mpira unayoshabikia
mwanaume huvuti sigara
mwanaume hunywi pombe
mwanaume hupendi siasa za ubishani
mwanaume hubishi unapanga boxer mwenyewe
mwanaume getho safiiiiiii kapeti jeupe
mwanaume boxer nyeupe soxi nyeupe handkerchief nyeupe shuka jeupe
AH WEEEEEEEEEEE subutuuu!

ACHA KUWA PERFECT SANA!
 
Dadek Wallahi.

Najua umejizuia tu kusema "huo ni umama"

Just kidding!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Umemaliza kabisa.

Hii thread ingeishia tu hapa.
 
You are too good for me',you deserve better'..wanawake kumuacha/kumkataa mtu kwa aina ya maneno hayo haiondoi ukweli kuwa umemuumiza wala kupunguza maumivu...
Man,Mungu atakubariki utampata atakayeelewa hayo unayohisi ni mapungufu yako ama atakuondoshea mapungufu hayo.....
 
Jenga mjengo wa maana.. tafuta gari kali.. halafu bandika tangazo getini natafuta house girl mwenye elimu ya digrii. Ukimaliza lete mrejesho..
 
Umemaliza kabisa.

Hii thread ingeishia tu hapa.
AHSANTE!
ubinadamu ni pamoja na kuwa imperfect!
ni kama mfano!
unaenda na mtu bar anaagiza maji ya Kilimanjaro ,anaomba yachemshwe kwanza!akiletewa anataka chujio la kuyachuja,kisha anaomba mrija ayanywe ili asiyachafue kwa lips in case alipokuwa anakuja barabarani alipata vumbi midomoni!
hii hata wanawake wengi wanaimiss hii!
unapokuwa SAHIHI SANA ,SISI WENGINE TULIO NA UBINADAMU TUNAKUONA JINI!
TUNABAKI TUNAKUSHANGAA!
inaondoa utamu wote wa mahusiano!
 
Dadek Wallahi.

Najua umejizuia tu kusema "huo ni umama"

Just kidding!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

AHHAHAHAHAHA!
unanijua nilivyo gender sensitive!
LAKINI KIUKWELI KABISA!
mi sitaki mtu awe PERFECT!
kosea nijue flaws zako!
HALAFU NIJIPIME!
nakumudu! niseme naweza, au siwezi!
unapokosea kwa uhuru unakiri ubinadamu ndani yako!
maana yake unaelewa ubinadamu ndani yangu!
maana yake TUNAKOSEA PAMOJA NA TUKIWEZA TUNANYANYUKA PAMOJA!
na hata TUKISHINDWA BADO UNABAKI NI UBINADAMU!
HAKUNA LAWAMA!
HAKUNA HATIA!
we were only being human!
 
Sure thing. I hope he learns a thing or two from your comments!

Have a blessed day!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Thats right.
 
Amekwambia mademu wanamtosa, sasa aendelee kudate kivipi?
 
Mkuu unatushauri sisi ambao hatutumii kilevi na sigara tuanze au?
 
Mkuu unatushauri sisi ambao hatutumii kilevi na sigara tuanze au?
kuwa naughty na chochote !
just being stubborn in any way!
na kimsini you are stubbon ila UNAJIFICHA!
na hii ndiyo inatisha zaidi!
 
Muombe mungu akuonyeshe aliye sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…