Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,865
- 2,205
Hapo lily ommy kaboronga Bora angeoa kifaa hicho Cha kwanza ndio ingekuwa poa.
Angalia na anaejistiri huyo ndio wa kuowa, sio unafata uzuri tu halafu anavaa vinguo vya ajabu ajabu 😂
Hapo lily ommy kaboronga Bora angeoa kifaa hicho Cha kwanza ndio ingekuwa poa.
Halafu wote hao ni wachaga, watoto wa kichaga ni wazuri sana.
Wapi bro?Nope!
Umiesha ambiwa ni mke wa mtu, unatafuta magomviHuyo wa 1 ndo namuelewaga balaaaa,oya ukipata 07 zake nipatie kaka
KWA WALE WALIO KARIBU NA BINTI TANGU HUYU NAOMBA SANA WAMSHAURI ARUDISHE NYWRLE ZAKE HIZI NATURAL ALIZONAZO KWENYE PICHA HII, HALAFU AONDOE KABISA HIZO ALIZONAZO SASA. NYWELE ZAKE NATURAL ZINAMPENDEZA UTADHANI NI MREMBO WA DUNIA.Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816