Warembo wa kinyarwanda Vs wa kichaga wapi wanakimbiza?

Ish! we wapi? yaani ni sawa na kulinganisha kati ya Malaika na First lady, kabla hujamuona tu malaika, jina tu linatoa picha.


 
huo mlinganyanyo wako ni kama mbingu na aridhi ningeona unapatia endapo may be ungelinganisha wambulu na wanyarwanda atleast hata warangi na wanyarwanda au maasai na wanyarwanda au wa iraki ila wachaga hamna kitu labda kuuza duka ( sifa za madem wa kichaga wengi wafupi hata kama ni warefu wengi wanatumiguu kama twa mbayuwayu,kiuno na mgongo huwez kuvitenganisha na sura fupi (zimebonyea) huko kitandani ndo hawajui kabisa) au una utani na wachaga nini?
 

Tena utani uliopitiliza kabisaa. Uchagani nako kuna wazuri na warembo tangu lini? KAtika 10 ni 1 ama wawili
 
Hebu wekeni picha zao tuwathanishe.Please Tyta come this way
 
Last edited by a moderator:

ulikutana na mpare mkuu.. sisi wachaga ni warefu bhana
 
kwa heshima na taadhima nakukaribisha pm uthibitishe haya madai yako!

La sivyo utakuwa umeniuzia gunia kwenye mbuzi! teh...

penda sana chagga beibiz mm!

hahaaaaaaa... tangulia nikukute
 
Nawapenda wachanga kwa sababu wanapungua kadri unavyoenda miguuni
 

wachaga warefu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…