Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
We utakua huendi kufanya biashara unaendea umalaya nenda wakakugonge limbwata
Aisee twende Tabora debyTabora nenda kwa akili sana, kule ni tofauti na Arusha au Kilimanjaro au Dar kwamba unatongoza demu ukimaliza haja zako unasepa, kule hamna hiyo utajikuta umeoa hivi hivi na utarudi nae Kilimanjaro bila kupenda! Ila kama bado una moyo na watoto wa kiarabu wa kule basi ukifika piga misele maeneo ya Kanyenye, Rufita na Bachu kuna waarabu wengi sana wenye maisha ya kiswahili kabisaa tena maisha magumu kama wabongo, hapo utapata mkee sio demu,
Lazma utaoa kijana kule ni mwendo wa mafundi wa Elimu isiyoonekana
Nadhani umenielewa
Sasa hivi mkuu hizo Frankman, club zero na 101 zishakuwa za zamani, kuna sehemu mpya kama Oxygen, Shimoni, Whatsapp club ambapo watoto wa uhazili wote wanakimbilia huko sasa hivi, tatizo wanapenda kurogaTabora kuna watoto wakali acha nlikua huko 2013 kikazi kwa miezi 5 nli enjoy sana hasa viwanja vya freckman, Ziro, na Mziki wa 101 uhazili nlikula raha kuliko Jijini
You have to find by yourself, don't wait for someone to bring or arrange for youHow's is going my buddy .Nina safari ya kwenda Tabora mwezi wa 3 kwa ajili ya biashara .Natokea mkoa wa Kilimanjaro si unajua Kilimanjaro hamna mademu wa kiarabu au wabushiri ,Nikiwa Tabora Nina mpango wa kutafuta kimwana wa kiarabu mwenyewe connection please let's me know please. Na sijawahi kufika Tabora kukoje .ni Kama Arusha au Kilimanjaro or Morogoro .Dodoma ,Natumaini kupata misaada from you guys