Ama kweli pale umepata mkolabo
Huyo ntu ni miss neddy walikuwa wanagombea umiss. Nani miss na nani siye miss!
Hebu mshana jr tupe mrejesho nani anafaa kuwa miss?
View attachment 197285
Unaikumbuka hii?
Hahahahaaaa kumbe wewe ni mpenzi wa viatu kwa kimombo vishoes..!!!
Umero wa bia za ofa na michemsho ya bar kaka
Mimi nipo mkuu sema majukumu yamebana sana mzima lakini kamanda!
Naona unaamulia ugomvi!!!vipi ulicheza rafu nini mkuu
Mkuu mshana jr mwambie bysange kitambi sio issue aise asije akashindwa yale mambo yetu aise
baby nilikuangalia tu jana yani uliniboa nilitaka nikukule nyama ... nataka laki tano yanguMkuu Kibo10 pambana mkuu ndio wakati wake aise
hapo miss chagga alikutana na Dena Amsi sasa si unajua miss chagga anaiba so nilikuwa naamulia ugomvi wao mkuu
Mkuu mshana jr mwambie bysange kitambi sio issue aise asije akashindwa yale mambo yetu aise