christina Angelo
Member
- Jan 28, 2018
- 9
- 7
sawa kaka..kama wifi hapendezi ni yeye.Hivi aliyewaambia mkivaa hayo matakataka mnapendeza ni nani?
Wakija warembo wakichukua nitalipia mimi
Mi nataka kuwalipia warembo wa jf sio wifi yakomchukulie wifi
Dada wanakuja ,mwanamke urembo !!.
Wanakuja upige zako ela ,naww uwape kupendeza !!.
Ngoja nikamuulize anapendelea aina gan ,tufanye mawasiliano !!.
Sema kwa joto LA Dar ,, nawakumbusha kubadili izo nywele kila baada ya siku 5-7!
Tunapendeza sana tuu..Hivi aliyewaambia mkivaa hayo matakataka mnapendeza ni nani?
Aaahhh sawa !! Asante !!.hiz nywele nzuri sana..hiz siyo mawigi..
Meseji delivadi![emoji4] [emoji4]sawa kaka..kama wifi hapendezi ni yeye.
hahaaMi nataka kuwalipia warembo wa jf sio wifi yako
Hivi kuna mwanaume anapenda mwanamke aliyevaa wigi?Hivi aliyewaambia mkivaa hayo matakataka mnapendeza ni nani?
Thubutuu.Tunapendeza sana tuu..
Kibendi Na wigi wapi Na wapiThubutuu.
Si ungekuwa na kibendi sasa hivi
Wewe unapendaHivi kuna mwanaume anapenda mwanamke aliyevaa wigi?