Warembo wa Dar wanatisha mbayaaaaa!!!!!

Ila bwana wengie weupe kwa vipodozi vile marufuku kwa TFDA. Siwafagilii hasa. Mrembo Dar ni Miriam Odemba, very natural lady na Victoria Mwanukuzi tu. Hawa waliobaki ni mikorogo tu. Nimesahau Hoyce Temu.
 
Sijamuona mwana wa sepetu

Mama Zion Daughter, wema ngozi ni michirizi ya kuchubua ngizi imebaki!! Wewe ni mweupe unaogezea tena na Obag!! Hafai ukimwona kwa mbazi, full michirizi ya mikorogo!!
 
Ila bwana wengie weupe kwa vipodozi vile marufuku kwa TFDA. Siwafagilii hasa. Mrembo Dar ni Miriam Odemba, very natural lady na Victoria Mwanukuzi tu. Hawa waliobaki ni mikorogo tu. Nimesahau Hoyce Temu.

Tofautisha kati ya urembo na uzuri..Urembo unanunuliwa na uzuri majaliwa ya Mungu.Kwa vigezo vya urembo hao wamefuzu
 
Mama Zion Daughter, wema ngozi ni michirizi ya kuchubua ngizi imebaki!! Wewe ni mweupe unaogezea tena na Obag!! Hafai ukimwona kwa mbazi, full michirizi ya mikorogo!!

Ni kweli lkn bado ni mrembo..Ila zamani alikuwa mzuri
 
bila mapaja wazi maisha hayaendi........
 
Vp fuel consumption zao na durability

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndio maana ndiku alidata! Mwe mwe mwe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…