Warembo Viwango Approved By Allien

Nimekula kwa macho nimeshiba. Ahsante Allien. Wote ni warembo kwa kweli.
 
Kwetu sisi wazee, tulio pitwa na wakati, tunawapa pole ninyi manao ona huo kuwa ni urembo. Poleni sana wanetu.
Linalo nisikitisha zaidi, ni kuona picha ya mwanangu akiwa nusu ........, Je! ingekutokea na wewe, ukamwona mwanao, au hata dada yako, ungeita urembo??????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…