Natasha Ismail
JF-Expert Member
- Jul 14, 2008
- 756
- 696
Mh Allien hichi kitu cha wapi kimenigusa.kimesimama ile mbaya
Devotha Feruz aka muke ya muzungu.
Preta; Uzuri ni Uzuri tu hata UkizeekaHapa baadhi weshachoka......nilikutana na Saida nikamsahau......kanenepa huyo.....
Hoyce bado anatesa.....Richa sijui kapotelea wapi......mweeee.....urembo maji ya moto jamani....
balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah