Zinduna Mi bado cjawaona kama wanatija sana katika warembo walioko Bara
Zinduna nakwambia kama haujawahi kuonaga warembo nakwambia hao toka Zanzibar hebu waambie wapite left kabisaaaa! Nakuomba fanya ziara chap hapa A town na uwaone hawa wadau na unipe majibu;
Preta
Lily Flower
Passion Lady
Meljons
sweetlady
Blaki Womani
Loner
marejesho
Kabakabana
Warembo hawa kama ctaacha kuwasifu!
Watajwa hapo juu hebu wekeni photo zenu na Zinduna aseme mwenyewe!
Hamna kitu hapo, sijaona wa kushtua japo mshipa wa nywele ya katikati.
Hizo ni fikra zako. Nani kasema urembo ni mpaka ukae uchi?Hapa hatuzungumzii waenda uchi mkuu, tunatazama natural beauty a.k.a Crietivo la Originale.
Hebu weka maksi hapo, unajua saa nyingine ninachoka kutukana jamani loh!
Zinduna nawe umezidi kujiifunika mno, tuachie japo dawati la customer care tuone, kama hutajali bibie.OMG!!!!!
Usimwambie mtu
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
\
12
13
14
15
16
katika
hizi picha, ipo moja nahusika sana, hebujaribuni kubahatisha itakuwa ni
picha namba ngapi?
huyu ndio superstar wangu kwenye huu uzi.........
Utamu je?