Fernandes Rodri
JF-Expert Member
- Apr 11, 2009
- 519
- 264
huyu ndio superstar wangu kwenye huu uzi.........
Marhabaaa Preta, macho unayo.
FirstLady1 pia tupo pamoja.
huyu ndio superstar wangu kwenye huu uzi.........
Hii itakua ni namba 14
Ndie uliyejichagulia huyo!?
Daaah!!!af nimekuletea booonge la zawadii!!!kwi kwi kwiiiiii!!!!otea......
huyu ndio superstar wangu kwenye huu uzi.........
Huyu ndiye aliyenitia kichefuchefu nikafunga page kabisa.
huyu siku nyingine mwambie afue mtandio kabla hajapiga picha.....asije niaibisha kama yule wa jana aliyekuwa anahojiwa TBC kuhusu kifo cha bi Kidude.....kunivalia mtandio uliochomwa na pasi.....
Hapa kidogo kanajitahidi.Kwasababu kamechisha pia.
Du, hapo ukisema ni wangapi kutoka kushoto, kuna offer ya lunch mimi na wewe
Orodha hii haitakamilika bila y jina la NyamayaoZinduna Mi bado cjawaona kama wanatija sana katika warembo walioko Bara
Zinduna nakwambia kama haujawahi kuonaga warembo nakwambia hao toka Zanzibar hebu waambie wapite left kabisaaaa! Nakuomba fanya ziara chap hapa A town na uwaone hawa wadau na unipe majibu;
Preta
Lily Flower
Passion Lady
Meljons
sweetlady
Blaki Womani
Loner
marejesho
Kabakabana
Warembo hawa kama ctaacha kuwasifu!
Watajwa hapo juu hebu wekeni photo zenu na Zinduna aseme mwenyewe!
Keli bana ata mimi nabenda uyu
huyu ndio superstar wangu kwenye huu uzi.........