Warembo hao.

Straddler

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
722
Reaction score
193
Wenyewe wametinda nyusi na kupaka lipstick.:lol:




..... .....
 
hahahaaaaa waremba au warembo???? dah nomaaaa
 
Huyu wa kushoto ana vi-container shingoni unaweza hifadhi lita moja ya maji.
 
Mamaaa!! Hao warembo au mabaunsa? wamekomaa kama komndo kipensi
 
Aaa! ushaniharibia pozi mambo gani haya sasa hao ni warembo au madume hayo?
 
huyo wa katikati naweza kuvinjari naye...ana mvuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…