Naombeni ushauri. Hawa warembo wamekuwa wajigonga sana kwangu na mimi nimekuwa kauzu zaidi ya dagaa.
Huwa tunapiga stori za hapa na pale. Ni watoto walio umbika kisawa sawa.
Nimesikia kwa mtu mmoja wakaribu sana na hao madu. Kasema wanampango kabambe wa kunivizia japo niwa romance.
Naombeni ushauri ikitokea hiyo nifanye nini?
Mimi ni ME. Kwan vp?
Utata upi uliouona nikusaidie.
Nimekujibu mimi ni ME sasa tatizo lako ni nn?