warejea nyumbani unakuta mtoto kama hivi

warejea nyumbani unakuta mtoto kama hivi

upooo wewe!morning!binadamu wengi tunaongozwa kwa imani ingawa kuna vya kuamini na vingine c vya kuamini,mm binafsi hapo ningetafuta gongo lilipo thn nidili na nyoka!

Nipo sana nimejaa tele kama pishi la mchele, kumbe na wewe huna lmani
 
mi imani yangu ni kwa yesu Fidel80,ila nimeshasikia habari kama hizo binafsi siamini kama nyoka anaweza kua rafiki na binadamu,mi najua ni shetani!
 
mi imani yangu ni kwa yesu Fidel80,ila nimeshasikia habari kama hizo binafsi siamini kama nyoka anaweza kua rafiki na binadamu,mi najua ni shetani!

Amini amini nakwambia ukiwa na lmani kama chembe ya hadarani waweza hamisha mlima au ukageuza mawe kuwa mikate.
 
Back
Top Bottom