warejea nyumbani unakuta mtoto kama hivi

warejea nyumbani unakuta mtoto kama hivi

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
unarejea nyumbani unakuta mtoto yupo na huyo je utafanyaje?
 

Attachments

  • mtoto.jpg
    mtoto.jpg
    14.7 KB · Views: 594
Kutokana na innocence ya watoto wadogo hakuna madhara mabaya yatakayotokea, tatizo litatokea iwapo wewe uliyemkuta utapanic na kujaribu kumuokoa huyo mtoto.
 
nimesharudi home na kukuta kanyoka mlango wa uani na dogo wa mwaka 1 amemshikia fimbo anamuongoza aondoke....
 
Nyoka hakung'ati mpaka umelundika mate mdomoni, na yeye anajihami kwa kulundika yake, timing nani atawahi kumtemea mwenzie, ila chunga sana macho, nyoka wanapenda kusplit machoni tena kwa ufanisi wa ajabu.
 
Nini toto bana, kama mama yake ipo salama hamna shida, mama ndo kiwanda ikiwa hiyo toto itaenda mie tenganeza nyingine
 
hua wanasema eti usipige kelele,nyoka atacheza na mtt thn atasepa,ila ukipiga kelele mtt anang'atwa,hata kwa huyo ni kupiga kimya nyoka ataondoka coz mtt ni malaika!
 
Kutokana na innocence ya watoto wadogo hakuna madhara mabaya yatakayotokea, tatizo litatokea iwapo wewe uliyemkuta utapanic na kujaribu kumuokoa huyo mtoto.
that we call old wives storry! imani za mitaani!
 
Naamini hii ni lmani tu kama ya kuhamisha mlima

upooo wewe!morning!binadamu wengi tunaongozwa kwa imani ingawa kuna vya kuamini na vingine c vya kuamini,mm binafsi hapo ningetafuta gongo lilipo thn nidili na nyoka!
 
Back
Top Bottom