Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,766
Huyu jamaa hakika atakuwa mbishi sanaa...alianzaje kutongoza.
Kaka made in wapi hii?
Acheni kutunyanyapaa sisi wafupi khaaa....
Haaa...wakwetu! Umeamua kuwasema? Mzima lakini?
Hahahahah Twin we kila sehemu upo...ngastuka
Twin nashangaa, hata mimi. Kila sehemu nipo. Wafupi nimo, wasioolewa nimo, bonge nyanya nimo, Teamvipara nimo!
Mi sijamaanisha hivyo.....kuna siku walikuwa wanapondea wanawake warefu ulisema we mrefu leo wanatupondea wafupi umo...khaaa
Mie mzima wa kwetu, ila huu ni unyanyapaa kwani ufupi ni ugonjwa???
wewe bado unakuwa!Acheni kutunyanyapaa sisi wafupi khaaa....