Ware house / godown inauzwa

Ware house / godown inauzwa

mwangambaku

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
109
Reaction score
22
Ipo barabara ya Pugu karibu kabisa na Bakharesa co ltd, pale makutano ya Tazara , eneo lina ukubwa wa sqm 200, kuna godown na nyumba ya gorofa tayari vipo, picha zitafuata , eneo limepimwa nyaraka zote muhimu zipo , bei ni 300m. kwa mahitaji ya kuona au kununua.

Tuwasiliane 0755 099 291
 
Back
Top Bottom