Waraka wangu kwa baraza la mitihani na serikali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wangu kwa baraza la mitihani na serikali.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by AdvocateFi, Feb 13, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Hivi karibuni tumeshuhudia jinsi ufaulu wa kidato cha nne( csee 2011) ulivyokuwa duni, mbali na hapo tumekuwa tukishudia jinsi wanafunzi wanaorudia mitihani yao( prvt canddets) wanavyokandamizwa na baraza ktk usahishaji wa mitihani yao, kwa mfano unakuta kila mwaka hawa prvt canddets wanapata matokeo mabaya sana huku wakitozwa fedha nyingi kwenye usajili na si kwamba hawa pc hawana uwezo bali ni upuuziaji 2 wa baraza juu ya hili tatizo , ni vyema serkali, baraza waliangalie swala hili kwani prvet canddets huwa hawatendewi haki hata kidogo. Naomba kuwasilisha
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,630
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  acha uchonganishi niPM nikupe matokeo yangu,mimi ni private candidate na nimepiga paper kama vile nipo skuli. Kuna kitu binafsi nimekigundua kwa private wenzangu...usharobaro, kusoma past paper tu tena mtu anasoma majibu sahihi tu,kusoma vitabu vya maswali na majibu vilivyoandikwa kwa mtindo wa katekisimu,kupenda miteremko....eti njemba inazunguka mkoa mzima wa Mwanza ikitafuta paper iliyovuja maarufu kama possible! Nawapongeza baraza kwa ubunifu wao wa kutunga paper tofauti (p.cand na school cand)
  Kuna mtu humu jamvini aliwahi kusema ni ngumu kuchemsha kiporo...mimi nasema ni ngumu zaidi kuchemsha kiporo kwa kukianika juani.
   
Loading...