LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,699
Ni kuhusu matumizi ya neno " UNDERGROUND KING". Kwa muda mrefu sasa, Mansu-Li umekuwa ukijiita UNDERGROUND KING but i realy doubt kama unafahamu maana yake.
HISTORIA YA MATUMIZI YA NENO " UNDERGROUND" MIONGONI MWA WASANII WA MUZIKI WA HIPHOP TZ.
PHASE 1: 1990S mwanzoni hadi 2002: Neno " Underground" lilitumika kumaanisha wasanii ambao hawafahamiki, wengi wao walikuwa ni wasanii wanao fahamika katika shule zao, mitaa yao, kata zao, au katika miji yao pekee.
MTAZAMO WA WASANII WA HIPHOP BONGO KUHUSU NENO " UNDERGROUND " ( 1990S- 2002)
Very Negative: Wasanii wengi wa kibongo katika kipindi hicho hapo juu walikuwa wanachukia kabisa kuitwa Undergrounds. Personally nimeshashuhudia ngumi zaidi ya mara moja, chanzo kikiwa ni msanii kuitwa Underground.
So katika kipindi cha kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 hadi mwaka 2002 , wasanii wa HIPHOP Tanzania walikuwa na mtazamo hasi sana kuhusu matumizi ya neno Underground. Hawakupenda na walichukia sana kuitwa UNDERGROUNDS.
MTAZAMO WA WASANII WA HIPHOP BONGO KUHUSU NENO " UNDERGROUND " ( 2003- PRESENT )
Neno Underground linaanza kuonekana la kawaida miongoni mwa wasanii wa Hiphop Tanzania. Wasanii mbalimbali wa Hiphop Tz hata wale wasio stahili kuitwa Undergrounds wamekuwa wakijitokeza hadharani na kujiadress themselves kama wasanii Undergrounds. JCB wa Watengwa amewahi kusikika akijiita Underground (mwaka 2012 ). Mansu.LI yeye hujiita UNDERGROUND KING.
CHANZO CHA NENO UNDERGROUND KUONEKANA LA KAWAIDA/ AMA SIFA NZURI.
Kwa mujibu wa utafiti wangu, chanzo cha kupanda hadhi kwa neno undeground miongoni mwa wasanii wa hiphop Tz ni msanii 50 Cents katika wimbo wake " MANY MEN". uliotoka mwaka 2003. Anasema
" Now ***************** put money on my head,
Go get ur refund***** i aint dead,
I m the diamond in the dirty, but i have never been found,
Im THE UNDERGROUND KING, but i have never been crowned "
Wimbo huu ndio sababu hasa iliyo wafanya baadhi ya wasanii wa hiphop Tz na wao kuanza kujiita ma undergrounds and Mansuli in particular kujiita THE UNDERGROUND KING.
Mansuli anajiita THE UNDERGROUND KING akimaanisha kuwa yeye ni mfalme wa wasanii wakali ambao hawajulikani sana. Anadhani kuwa 50 CENTS wakati anasema " I AM THE UNDERGROUND KING " alikuwa anamaanisha kuwa yeye ni mkali wa wasanii wachanga. NO! Mansuli haupo right my brother. 50 CENTS hakumaanisha hivyo unavyo fikiria wewe.
50 CENTS ALIMAANISHA NINI?
Aliposema , i am the UNDERGROUND KING, alimaanisha " I AM THE BEAST/ I AM THE DEVIL/ I AM LUCIFER" coz LUCIFER is actually THE UNDERGROUND KING. Simaanishi kuwa 50 Cents ni devil worshiper or something. Nah,alicho kifanya ni kutumia tu lugha ya kishairi na mbinu ya kisanaa ijulikanayo kama MUBALAAGHA au CHUKU au UDAMISI au kwa kiingereza HYPERBOLE akachanganya na mbinu nyingine ya kisanaa iitwayo METAPHOR ama TASHIHISI kuufananisha uwezo wake katika muziki wa Hiphop sawa na ule wa Lucifer katika ulimwengu wa giza.
( Alijiita Underground King katika mantiki ya MAN U kujiita THE RED DEVILS and all that. Walaa hakumaanisha hivyo unavyo fikiria wewe. )
USHAURI WANGU KWAKO:
Acha kujiita UNDERGROUND kaka. Wewe ni msanii mkali na mitaa inakukubali sana, unapojiita Underground unakuwa unashusha thamani ya muziki wako. Kibongo bongo ( kwa mashabiki wa muziki wa kibongo ), neno Underground bado lina hadhi ile ile ya miaka ya tisini.