Nakuelewa haya unayosema hapa kuhusu kulaumu chuo kwa kila kifo cha mwanafunzi kinachotokea. Lakini bado sikubali hata kwa sekunde moja, kwamba chuo chochote kile, iwe UDSM, Dodoma au wapi, kiasi kikubwa hicho cha wanafunzi kufa kwa sababu yoyote ile ni kasoro kubwa sana katika mfumo, si wa vyuo tu, bali katika jamii.Mkuu,kile ni chuo,kuna watu wengi! Ndiyo ajali ilishawahi tokea,ikagharimu maisha ya watu,wasichana wanafariki kwa kujifungua, au wanatoa mimba! Hilo ni kosa la Kitima?? Kwan UDSM au Mzumbe au SUA hawafariki?? Wengine wanafariki wakiwa likizo makwao huko! Hilo nalo kosa la Kitima kweli?? Wanafunzi wanaenda kuoga ziwani wanazama kwenye maji,hili nalo kosa la Kitima kweli??
Amehoji kwa sababu vimetokea ndani ya miezi miwili na hao sio Wanajeshi walioko vitani ni Mapadre na Watawa katika Nchi yenye Amani na utulivuInakuwaje mtu ahoji Idadi ya vifo vya watu 25 na masista 60?
Kumbe uko jimbo la Geita,Parokia ya Nyarubele.POLE na majukumu, kwako Katibu mkuu wangu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC, Rev.Dr.Charles Kitima ni mwalimu wangu wa chuo kikuu SAUT na Pia binafsi nimesomeshwa na Kanisa Katoliki, Mimi ni muumini mlei wa Kanisa Katoliki natokea Kanisa Kuu la mtakatifu Antony wa Padua Parokia ya Nyarubele Jimbo katoliki la Geita, Paroko wangu ni Rev.Pd.Thomas Kabika Biringi, na Askofu wangu ni Most.Rt.Rev.Flavian Matindi Kassala, nimebatizwa na kupewa Kipaimara.
Na wakati huohuo uko Jimbo kuu la Dar es salaam. Basi sawa.Muumini Mlei Kindakindaki wa Kanisa Katoliki
Budodi Jelard L
Jimbo Kuu la Daressalaam, Tanzania.
Ili na wewe uende sawa Kitakwimu ungetaja idadi ya mapadri &masista wote wa RC ndio ulinganishe na vifo vyao.i.e mapadri 25 &masista 60.Badala ya kulinganisha idadi ya waumini wote wa RC kwa vifo vya mapadri na masista!watu 25 na masista 60?
Kwaiyo jiwe nae nikaisali au ni nipadre tuanzie hapo kwanzaMpe Kaisari yaliyo take Kaisari. Na mpe Mwenyezi Mungu yaliyo yake Mwenyezi Mungu. Viongozi wa kanisa hawana mamlaka ya Kaisari. Wana mamlaka kanisani. Nini kinaendelea kwao sasa?
Lakini hata kabla ya covid makasisi kanisa katoliki wamekufa sana. Wana kundi kubwa la waathirika wa ukimwi, na kama sasa wanakufa ni kwa kupungukiwa kinga za mwili. Hawawezi kuwa wamekufa tu eti kwa sababu ya korona. Watawa wao wengine hufa kwa kutoa mimba pia.Unaposema kipindi chake chote hapo SAUT unaongelea kipindi cha muda gani, maana juzi ameongelea kipindi cha miezi 2, Maaskofu 25 masister na manesi 60 wamefariki, jumla ni uhai wa watu 85, kweli idadi yote hiyo ya vifo kwa kipindi cha miezi miwili hamutaki mtu aongee kwa mashaka?
Tuna shida mahali fulani, tena shida kubwa tu.