Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?

Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je al
http://www.google.com
Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...
Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.
Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?
Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.
Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......
Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......
Kagoda, Richmond nk kapandikiziwa au kajipandikiza? Tunataka 40bil za kagoda zirudi nayeye ashitakiweufisadi wa Rostam upo wapi? au ni chuki mliyopandikiziwa!
Eeeee bwana hapo umeniacha hoi, hivi na wewe umepwa asilimia ngapi kuandika huu upupu wako hapa???Ngoja ninyamaze kwani nikiendelea naweza kupigwa ban bureeeeeeeeeee.Ila umechemka.Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......

Ndio, sio siri tena sasa kuwa nchi iko mashaka, ina kwikwi nyemelezi. sitaki kupoteza muda kuelezea matatizo yanayoikumba nchi kwa sasa kwani kila mtanzagiza anaelewa na yanamgusa na kumathiri si kwa njia moja ama nyingine bali katika kila nyanja ya maisha. Hali hii inachangiwa sana, san tu na sisi wanatanzagiza wenyewe kwani tumendelea kukubali kuwa nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe kwa miongo kadhaa sasa. LAKINI WAKATI WA MABADILIKO UMEFIKA.

WANA IGUNGA. kwa muda mrefu mmechangia sana matatizo ya nchi hii, yawe ya kiuchuimi au kisiasa kwa kumruhusu fisadi Rostam Aziz kuchukua nafasi ya uongozi kwa miongo kadhaa, watanzania wamelia na Mungu amesikia kilio chao. "Ameng'atuka". Ni wakati muafaka kwenu kutubu dhambi zenu na kufuta historia chafu ambayo ingeendelea kuwahukumu vizazi na vizazi. Katika uchaguzi ujao tumieni nafasi hii kwa busara, wekeni maslahi ya kichama pembeni na tangulizeni maslahi ya Taifa mbele, CHONDE CHONDE pigieni kura Chama chochote mpendacho lakini si CCM.

Ni matumaini yetu kuwa hamtatuangusha tena.

Watanzagiza tunaoangamia kwa makosa yenu mliyoyafanya kwenye vyumba vya kupigia kura miongo kadhaa iliyopita
Duh,mzee we ndo mmOja wa waliolia kule Igunga nini?Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?

SSS nivigezo gani unavyovitumia kujiita wewe Mtanzania kuliko Gungwe?
Lakini pia lazima ujiulize RA alipata wapi huo utajiri? Umeshawahi kujiuliza ni biashara gani anafanya RA,Mtaji alipata wapi?
Nimaendeleo gani ambayo sasa yameletwa na RA na hayakuwepo kabla?
Ushiriki wake ktk kagoda na ufisadi mwingine unamsafisha RA kumfanya awe mpigania maendeleo ya Igunga?je siyo pesa hizo hizo walizo ibiwa wabongo zinarudishwa kidogo kwao kwa mfumo w madawati?
Umeshawahi jiuliza kuwa hayo ndo maendeleo pekee wanayoyahitaji wadanganyika?
Fisadi ni fisadi tu ndugu awe mweusi,mweupe ktk ujenzi wa tz mpya hatuaogopa kuitwa wabaguzi kwa kuwaondoa mafisadi tutpambana na mafisadi kila kona kwa faida ya nchi yetu tz.
Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......
Join Date : 2nd August 2011ufisadi wa Rostam upo wapi? au ni chuki mliyopandikiziwa!
Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi...... ]
Hivi inawezekana kutukana na kumuomba Mungu hapo hapo.Duuh!!!!!Wewe kama ni mtanzania bora usirudi kaa huko huko.Au lia basi kama wenzio walojaa matope vichwani wasiomjua kiongozi wa giza hapa tanzagiza
Join Date : 14th July 2011

Usifanye Kampeni muda bado na usiwasumbue watu wa Igunga!