Waraka wa Mzee Kinana na Makamba ulivyomsaidia Rais Magufuli

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
5,572
Points
2,000

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
5,572 2,000
ULe waraka wa kina Kinana na Mzee Makamba, umemsaidia Rais kuweza kurekebisha mambo mengi, na kuweza kupunguza wale watu waliojichukulia jukumu la kudhalilusha watu kwa jina la Raisibna Serekali.

Leo tunaona wale wote waliokuwa na sauti zankutisha, na hata waliokuwa wanafanya matendo ya uhujumu wa haki za watanzania, wanahaha na hawan sura tena.

Musiba yupo hoi na taabani, Makonda maji yapo shindoni, Ma RC wengi waliokuwa wanafanya kazi ovyo sio wao tena, Kabudi kimya.

Huo waraka pia umekisaidi chama cha CCM kurejea mikononi mwa wengi waliokijenga.

Waraka huu umetufumbua macho na umekuwa na faida kwa uongozi na umma.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
2,810
Points
2,000

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
2,810 2,000
Kwa hiyo bila hao wastaafu kutoa huo waraka, ujinga ungeendelea tu kutamalaki kwenye nchi yetu! Kama ni hivyo basi tuna ombwe la uongozi.

By the way, hao wastaafu ambao ndiyo chanzo cha yale mazungumzo ya faragha na yaliyovujishwa kinyume cha sheria za nchi, na wenyewe wataenda lini kuomba msamaha ili nao wasamehewe dhambi zao kama walivyofanya wale wengine?
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
5,572
Points
2,000

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
5,572 2,000
Kwa hiyo bila hao wastaafu kutoa huo waraka, ujinga ungeendelea tu kutamalaki kwenye nchi yetu! Kama ni hivyo basi tuna ombwe la uongozi.

By the way, hao wastaafu ambao ndiyo chanzo cha yale mazungumzo ya faragha na yaliyovujishwa kinyume cha sheria za nchi, na wenyewe wataenda lini kuomba msamaha ili nao wasamehewe dhambi zao kama walivyofanya wale wengine?
Sidhani hilo litatokea, hao weshastaafu, hawataki cheo wala fadhila zozote. Nitashangaa sana ikitokea hivyo, na kama ingekuwa basi tungeshaona dalili za kufanya hivyo
 
Forum statistics

Threads 1,379,687
Members 525,518
Posts 33,753,341
Top