Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

Hivi kuna jitu jiongo kama Wassira nje ya ccm? Uwongo ni rangi ya ccm. Na mtu akishaanza kuwa mkweli kama vile jaji Warioba alivyo, tayari ni adui wa ccm.


Warioba hana ukweli wowote ni MTU anaependa popularity
 
Halafu eti CCM wanamwita Wassira jembe!? Kumbe ni jembe la kusema uongo? Chama chenyewe kimejaa uongo, fitna na majungu. Ndiyo maana kinaipeleka nchi kwenye umasikini.
 
huyu binadamu anayeitwa Wassira kwa nini anajipa shavu sana siku hizi?

Haya nakwenda GOMBE kumfuata bosi wako!!

Angalau hakudanganya kama alivyofanya Wassira


Vijana mbona mnaweweseka sana mkisikia jina la Wassira? kulikoni amewabana?
kuna wengine mnasema hafai, kama hafai si mumuache tu ili ashindwe vizuri.
Mathalani mtu hakubaliki, mbaya wa sura, anawakera, wazungu watawacheka mkimchagua, sasa mtu wa namna hiyo kwanini mnamjadili kila siku?

Ukiona nyuki wametanda msituni tena sehemu moja ujue kuna maua yanayofaa kwa asali.
mnapozidi kumshambulia Stephen Wassira mnawafanya wasiomjua kumjua zaidi, waliokuwa wanambeza kumheshimu zaidi, kwa ufupi mnapigia kampeni kwa gharama nafuu.

Kuna mgombea wa kimarekani yaliwahi kumkuta hayahaya ya kutukanwa na kubezwa, kuzomewa na kuitwa majina ya madubwasha na madudu, siasa ni upepo, kilichokuja kuwageuka wapinzani wake ni simulizi mpaka leo, yaani "mbaya huyo" aliwatimulia vumbi hawakuamini.
Hii naiona very soon kupitia huyu Stephen.

Muda haudanganyi, na ukweli haujifichi, endeleeni kupambana lakini kumbukeni Politics is a game of chance,opportunity and wording.
 

Unatetea mtu asiyekubalika na alichemka tangu alipohama chama.
 

mwamba wa wanywa gongo .ukiona mtu hanenepi huku anamaisha poa jua anaroho mbaya sana
 
ukiona mtu hajibu hoja yy matus ujue anaondoa ukweli!,huu uzi unaonekana umewagusa watu wenye maslah binafs ila sio taifa cz hadui wa taifa hili sikuizi amekuwa msema UKWELI,ambao viongoz wetu mlii wengi hamjui ukweli
 

ukimsikia wasira unajambajamba tu humu

tulieni sindano za wasira ziwaingie wanafk wote
 
Hivi mnajua Jaji Warioba anaandamwa na ile organ ya Dkt Magufuli eti aondoke kwenye nyumba yao alikoweka ofisi zake Masaki! Hivi JK au JPM wanalijua hili jambo? Acheni kumchafua JK na Magufuli kwa usanii huu, kawakosea nini huyu Jaji?
 
hahahaaaaaaaaaa! Njaaaas mbaya sana....kama utetezi ni huu basi atafute kambi itakayomlealea.
 

Waambie hao wachumia tumbo wanaotumika hovyo hovyo
 
Kwakweli nakiri kukosea kumjadili mtu huyu hapa, naishia hapa na kwa dhati naungana jamii iliyo m delete huyu mtu. Ushauri, ajistaafie na kurudi kuwa mwananchi anayesubiri hukumu yetu kwa dhambi zake.

Ni bora umejitambua sasa huna hadhi ya kumjadili mzee Wasira bana who Ar u by da way Nonsenc
 
hahahaaaaaaaaaa! Njaaaas mbaya sana....kama utetezi ni huu basi atafute kambi itakayomlealea.

Hio kambi yako na siasa yako hamna kitu kuielezea jamii zaidi ya mafile ya umbea na upashkuna uliyojaza kwenye hio box yako
 
Mtu anayemtetea Wasira atakuwa hana tofauti na yeye. Jitu kuubwa akili ndogo kama ya inzi. Kinachomfanya alalamike leo ni nini. Hapa ni takriban 20 years. Halafu anajiona eti rais 2015. Aseme kwa nini alihama chama halafu akajirudisha then anataka Urais. Akikosa kipindi hiki atahamia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…