Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,515
- 17,612
Ngoja uchaguzi ufike na kampeni zianze mtaona magu anavyo kibalika na watu 95% ya kura za uraisi ni zamagufuliJamaa amenena maneno magumu sana kueleweka kwa baadhi ya watu. Unatakiwa uyasome na uyatafakari ndipo utamuelewa. Hasemi mtu ila anatoa hadhari na kuuhabarisha umma