Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,868
Mbona sielewi elewe ?
Naamini haya majibu yako yanatokana na hayo malipo yenu kutoka lumumba kugharimia kujibu maswali ya jamii forum kutokatwa kodi.issue siyo kukatwa kodi,kinachoongelewa ni kulipa kodi nyingi ambazo hatuoni zinakoenda.Tumekuwa tukiambiwa kuwa kodi zinagharimia miradi ya maendeleo,hapo hapo kwenye bajeti ya serikali tameambiwa deni la taifa limeongezeka.Kwa mtu yeyote asiyelipa kodi hawezi kuelewa wanachosema walipa kodi,especially waajiliwa ambao pamoja na kulipa kodi lundo bado hawana TIN number,kodi zao zinahesabika zimetolewa na mwajili wao.Mshirazy ni vema kunyamaza utaonekana una hekima.
Leo asubuhi nimeanza kupata machungu ya kukatwa kodi ya line ya cm, nilikuwa na shida sana ya kuwasiliana ili kutatua matatizo yanayonikabili na ndugu zangu pia. Nimeweka Tsh. 1000 ghafla nilipopiga nikaambiwa sina salio nimeshangazwa sana na kitendo hiki na kuumizwa sana maana nilikuwa na hiyo hiyo 1000, baada ya kukumbuka kumbe CCM walishachukua chao.
Ndugu zangu nimeamua kurusha uzi huu kwa kutafakari mengi sana, kwani nimejaribu kutafakari LUNDO la kodi ninazokatwa na impact ya moja kwa moja ama isiyo moja kwa moja katika maisha yangu binafsi na familia yangu kwa mapana yake. Ndugu zangu miongoni mwa kodi ninazokatwa bila kuona mafanikio yake ni:-
- PAYE
- VAT KATIKA MANUNUZI YOTE MADUKANI
- LINE YA SIMU
- VOCHA
- HANDSET
- MPESA NA AIRTEL MONEY
- KODI YA ARDHI
- KODI YA MAKAZI
- KODI YA VIWANJA
- KODI YA VIBANDA VYANGU VYA BIASHARA
- KODI YA MAZAO
- KODI YA GARI, MOTOR VEHICLE
- kODI YA FIRE
- NK, NK, NK, NK
Ndugu zangu wakati huo nina mlundikano mkubwa wa kodi hizi bado ninalipa umeme kwa serikali hiyo hiyo inayonikamua kila siku kodi, bado ninalipia maji, nyumba, ada na vingenevyo vingi sana na sioni mazingira yoyote yale yanayorahisisha maisha yangu.
Ndugu zangu ndiyo maana kwa uchungu mkubwa sana ninaoendelea kuupata chini ya serikali hii inayoongozwa na ccmn nimejikuta nashangaa sana kuona eti bado kuna Watanzania masikini kama mimi bado wanajiita ni wana ccm ndani ya mateso haya makubwa tunayoyapata.
Ndugu zangu ninapoandika thread hii ninaona uchungu unanizidi ngoja niishie hapa na niwatakie kila la kheri Wana ccm waendelee ku enjoy MAISHA chini ya serikali yao.
Naomba kuwasilisha machungu yangu na ku declare kwamba ninaichukia sana ccm na sitakaa nishawishike na yeyote yule aliyeko ccm wala mfumo wake.
Hizo zinazo baki wanaenda kuhifadhi uswisi
Ndugu Nyamigota maneno yako ndio ndio hali halisi ya mwananchi wa leo.tz!!
Kodi mpaka kwenye machungwa yanoyolimwa muheza!!
Na sidhani km ni ccm tu! Bali hata hivyo vyama vingine.
Ni ahadi za uongo mtupu! Wantuahidi weee lkn utekelezaji nehii!
Ndo maana mi siki ya ku voti huwa nakaa nyumbani tu nakunywa kahawa!
umeona eeh,kuna watu wanajidaganya eti siku mfano cdm wakiwa madarakani mambo yatawanyookea.huku ni kujidanganya sana.yatawanyookea wachache watakaopata madaraka ya kura kwa kasi mpya hadi wakatunishe account zao bank,watu watakuwa wameshalipishwa kodi za kila aina.
Nataraji waandishi wa habari (Pasco ukiwemo) waliuliza maswali haya matatu yafuatayo; 1. watu wa kawaida ndiyo watu gani na wasio wa kawaida ndiyo wepi hao? 2. Kima cha chini cha mshahara wa Afisa wa Serikali (tuseme Afisa Mtendaji wa Kijiji) ni kiasi gani hata akapata uwezo wa kumlipa mfanyakazi 130,ooo? 3. Afisa wa Serikali mwenye cheo cha Mkurugenzi au Gavana na Afisa wa Serikali mwenye cheo cha "Procurement Officer II") wanalipa kiwango kimoja kwa wafanyakazi wao wa ndani?watakaolipwa kima kidogo zaidi cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa nyumbani ambao wameajiriwa na watu wa kawaida huku wakiishi kwenye nyumba za waajiri wao.
Katika viwango hivyo, mishahara kwa wafanyakazi wa nyumbani walioajiriwa na watu wa kawaida lakini ambao hawaishi kwenye nyumba za waajiri wao itakuwa Sh80,000.
Wafanyakazi wa nyumbani walioajiriwa na maofisa wa Serikali watalipwa Sh130,000 kwa mwezi.
jamani naomba msaaada wa kuattache huu waraka ninao hapa na badiliko la sheria....kila nikijaribu inaniambia inapeleka JF then hakuna kinachoendelea au kama kuna watu wanipe email zao niwarushie basi kama huku itakuwa imeshindikana
jamani naomba msaaada wa kuattache huu waraka ninao hapa na badiliko la sheria....kila nikijaribu inaniambia inapeleka JF then hakuna kinachoendelea au kama kuna watu wanipe email zao niwarushie basi kama huku itakuwa imeshindikana
mrushie jamaa basi, tunasubiri.
mrushie jamaa basi, tunasubiri.
tupia hapa <mouddymtoi@gmail.com> tukusaidie mkuu.