Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

i used to know this human being na hata picha zake akiwa amevaa ngozi na mkuki akichunga,alikwa kijana mzuri na nimesoma naye ila hadi leo sijui ana ugonjwa gani uliomdadilisha hadi kwa zuzu kiasi hichi,huwa nafikiria ccm vibaya kuwa kina kitengo cha kutengeneza watu kama yeye,he wa a sweet boy,like leadership,bright in acedemics but today just a mug

Hujui ugonjwa unao wapata wote wanao jiunga CCM? Ugonjwa Dementia.
Dementia is the disease of the brain causing loss of cognitive functions (reasoning, memory and other mental abilities) due to traumagamba or normal cudjipendekezasis.

Dementia is not normal with aging. It can occur both in elderly and young people due to the underlying medical conditions. This decline ultimately impairs the capacity to carry out everyday activities such as driving, dialoguing, household chores and personal care.

Mwigulu anaonyesha amefikia stage za Mwisho za ugonjwa huu ambazo inakadiliwa ikifika 2015, anaweza kuchafua amani ya Taifa asipodhibitiwa mapema!
 
tiss mmalizeni mwigulu,vinginevyo itagharimu nchi baadae

namshauri waziri wassira kwa kutumia idala yake mshugulikieni huyu muwaonee huruma dr ulimboka ,kibanda .....kila kukicha ni mchochezi akika mtajutia kumuacha mwigulu maana kila akichangia bungeni ni kutukana roman catholic na cdm sasa sijui wenzie ni waislamu lakini mfumo huu wa siasa kamwe utatufikisha pabaya sasa sijui anataka tanzania isitawalike???
 
Huyu kijana ni muhuni, mkame wa akili, mwongo na mpyaro. Amesahau kazi ya wananchi na kubaki kufanya siasa upyaro na uchware bungeni.Mimi nilishangazwa siku moja alipopinga kuwa walimu hawafanyi biashara mashuleni ilhali wanafanya ili kujikimu kimaisha kutokana na kipato chao kidogo.
Hivi karibuni ametengeneza video ya kukidhalilisha chama cha watanzania wote lakini hatua zake zimegonga mwamba.
Nilimsikia akisema kuwa anao ushahidi na hata akifa atautoa huko mbinguni, sasa hajafa inabidi atoe ushahidi juu ya ugaidi wa CHADEMA.
nCHEMBA HAFAI KWA WANAIRAMBA WALA TANZANIA HII.
 
Salaams,

Kila kukicha ni wewe na kila uchao unavuma kwa mambo ambayo hayana msingi na wala hayana mwelekeo wa kuiendeleza Iramba Magharibi. Yawezekana umesahau jukumu lako kama mbunge wetu matokeo yake unafanya kazi za CCM na serikali ndani ya Bunge. Kumbuka kuwa wewe haupo bungeni kuiwakilisha serikali, au usalama wa taifa au CCM, upo bungeni kwa niaba ya wana Iramba Magharibi. Mengi unayozungumza bungeni ni yale uliyonayo kichwani mwako na si yale ambayo wana Iramba wamekutuma.

Huna sifa za kuwa mwakilishi wa wana Iramba. Ulipoteuliwa na wana CCM kugombea ubunge wana iramba wengi walidhani wamepata mtu wa kuisogeza Iramba. Niliwaskitikia sana wana Iramba wenzangu kwa kuwa na mtazamo huo. Ni kwa sababu walikuwa hawakujui. Mie niliyepata kukufahamu japo kidogo nilisikitika sana. Nakumbuka ulipokuwa UDSM kipindi kile cha mgomo wa kushinikiza marehem Mkili atolewe magereza, kila uliposimama kutoa hoja watu walikuzomea na kukutaka ukae chini. Si kwa sababu walikuwa wankuchukua, ila kwa sababu hukuwa na uwezo wa kujenga hoja za kushawishi watu. Hilo liko wazi, watanzania walio wengi wanakuzomea kila uzungumzapo bungeni. Sidhani kama hiyo ni sifa nzuri kwa kiongozi mzuri.

Umekuwa ukihusishwa na mambo mengi ya hovyo, wahenga walisema lisemwalo lipo.... Sidhani sana kama unajitambua na unatambua uyafanyayo. Wakati mwingine huwa nafikiri huenda yale maisha yako ya kukaa porini kwa muda mrefu ukichunga ng'ombe yaliathiri ukuaji wako kiakili kiasi kwamba hujitambui, huwezi kujenga hoja zikashawishi watu, ukatumiwa na wenzako kwa kila aina ya jambo lisilojema na wewe ukalibebea bango pasipo tafakuri ya kutosha. Ama kwa hakika umekuwa limbukieni wa kila jambo. Kumbuka cheo ni dhamana, na hukuzaliwa kuwa kiongozi milele. Muda wako utakwisha watakuja wengine nao watapita. Ni vema sasa ukatumia muda huu kufanya mambo ambayo watu watakukumbuka nayo kwa wema.

Ulikuwa mchunga ng'ombe hebu kumbuka kufanya mambo ambayo yatawasaidia wale wachunga ng'ombe uliowaacha wanataabika. Think wider, achana na ulimbukeni wa kisiasa na kulewa vimadaraka ulivyo navyo. Jitambue kuwa wenzako wanakutumia, ukichujuka watakumwaga. Si unajua mwisho wa vuvuzela ni nini.

Shukia

Like, like,like,like,like,like,like,like, like,like, like, like............. (nimeona kubofya mara moja sitakutendea haki)
 
i guess it is political mania,unipolar type
Hujui ugonjwa unao wapata wote wanao jiunga CCM? Ugonjwa Dementia.
Dementia is the disease of the brain causing loss of cognitive functions (reasoning, memory and other mental abilities) due to traumagamba or normal cudjipendekezasis.

Dementia is not normal with aging. It can occur both in elderly and young people due to the underlying medical conditions. This decline ultimately impairs the capacity to carry out everyday activities such as driving, dialoguing, household chores and personal care.

Mwigulu anaonyesha amefikia stage za Mwisho za ugonjwa huu ambazo inakadiliwa ikifika 2015, anaweza kuchafua amani ya Taifa asipodhibitiwa mapema!
 
si kosa lake, bali ni uwezo wake mdogo. Unajua ccm wajanja wameshamgundua jamaa lofa.. ndo maana wanamtumia ... kamataaaa.. kamataaaaa. sa na yeye bila kufikiria sana badala ya kubweka tu.. anakamata kweli... matokeo yake.. wenye akili zao wanamuumbua kama unavyoona sasa....pole yake..
 
Back
Top Bottom