Waraka Muhimu Unaotumika Zanzibar

Waraka Muhimu Unaotumika Zanzibar

Duh!!!! halafu eti anajiita Mr.Right, this aint right hata kidogo

Naangalia rights pande zote za dini, kabila, rangi, bila ya kubagua. Huu waraka sikuandika mimi.
 
"Religion is the opium of the people", allisema mwanafalsafa mmoja....mi naongezea "especially stupid people"...kama huyu aliyeandika huu waraka!!
Udini umemfanya awe kilaza ajabu!
 
Samahani nlikuwa naulizia Jf jokes, sijui ndo hapa!?

yeah...there you are!! huu ujumbe umetungwa na watoto wa zile shule zao tena wadogo maskini hata hawajui chochote.... na kama ni watu wazima basi ni mazezeta...
 
inaonekana huyu jamaa anakunywa sana mnazi akidhani maziwa.
 
dah!jamaa ingekua safi akajifuta uwanachama,binafsi siwezi kujadili hoja na mjinga kama huyu
 
Back
Top Bottom