Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

NENDA SHULE MKU, ACHA MALALAMIKO. HAYO MAKABILA UNAYOYATAJA WAKO MBALI BWANA. NENDA BOSWANA UTAWAKUTA NI MAKONSALTANI MAHOSPITALINI NA KWENYE MIRADI YA KIMATAIFA. NENDA MAREKANI NA HATA CHINA. wAMESAMBAA DUNIANI SHAURI YA KULA KITABU. WEWE KALAGABAHO KWA MAWAZO FINYU YA KUONA UCHAGA TU. THINK BIG BWANA!!!!!!!!
 
chapeni kazi, anayeona hapandi juu kwa dhuluma alalamike kwanza binafsi kupitia vyombo vinanyohusika...mimi bado siamini ati tz ya leo mtu anaweza tu kupandishwa cheo au kupewa kazi kwa sababu tu ya kabila lake..huku wengine wote wenye sifa na ujuzi wa wazi wakikodoa macho...
 
Na wewe ni Mchagga?
 
Kiongozi unanifuhisha sanaaa na comments zako, hizo sehemu ulizozitaja zipo Tanzania kaka. Kama hizo sehemu ni mbaya kiasi cha kuzisitigmatize hivyo kwa hiyo Mchagga ndio anyestahili kukaa huko?!! I believe ukiwapeleka hao jamaa kweye hiyo list ya wakimbiza mwenge huko watalalama kwa muda tuu lakini baada ya mwaka utawakuta wako mbali kuliko aliyebaki makao makuu.
Typical Mchagga ninavyomjua popote anatoka tuu. Ninachojua ukizingatia sheria kuwafukuza kazi ni ngumu mno ila kuwahamisha hilo ndio jambo linalowezekana. Wapekeleni huko Rukwa, Pemba, Lindi na Mtwara wakachangamshe hizo eneo na baada ya mwaka utarudi hapa JF kupost malalamiko mengine, trust me hayataisha. KUNA ZAIDI UCHAGGA HAPAA..

TANZANIA KWISHAA AISSEE!!! UKIINGALII HII THREAD TATIZO NI MBIO ZA MWENGE WA RUSHWA KURUKA VIJIJI- MTANDAO WA FEDHA (RUSHWA). HATA WANASIASA UKIONA WANATOA MACHO SANAAA UJUE WAMEPITWA NA MWENGEE HUUU!!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA

mkuu kusoma siku hizi kila kabila linasoma, waraka umeeleza vizuri sana, na hakuna tatizo juu ya kabila hilo, isipokuwa kwanini wao wajazane vituo vyenye neema na mijini kwa msaada wa wachaga wenzao waliopo makao makuu, kwani huko Lindi na Mtwara elimu ya wachaga haitakiwi? kwani huko Rukwa na Kusini Pemba wachaga hawapaswi kufanya kazi? wawepo idadi yeyote lakini upendeleo wa vituo vya kazi ndio tatizo, hebu ufanyike uchunguzi tuone Mtwara na Katavi kuna wachaga wangapi? kisha urudi hapa. tujadiliane
 
uchunguzi wa kijinga,watu tumefika mpaka north korea kwa kim jong un and we made it,we swam water with great whites and survived,wewe unalalamika hapa hapa bongo,God bless Tanzanian's,God bless this guy so that he change his attitude towards chagga people.
 
Kiongozi unanifuhisha sanaaa na comments zako, hizo sehemu ulizozitaja zipo Tanzania kaka. Kama hizo sehemu ni mbaya kiasi cha kuzisitigmatize hivyo kwa hiyo Mchagga ndio anyestahili kukaa huko?!! I believe ukiwapeleka hao jamaa kweye hiyo list ya wakimbiza mwenge huko watalalama kwa muda tuu lakini baada ya mwaka utawakuta wako mbali kuliko aliyebaki makao makuu.
Typical Mchagga ninavyomjua popote anatoka tuu. Ninachojua ukizingatia sheria kuwafukuza kazi ni ngumu mno ila kuwahamisha hilo ndio jambo linalowezekana. Wapekeleni huko Rukwa, Pemba, Lindi na Mtwara wakachangamshe hizo eneo na baada ya mwaka utarudi hapa JF kupost malalamiko mengine, trust me hayataisha. KUNA ZAIDI UCHAGGA HAPAA..

TANZANIA KWISHAA AISSEE!!! UKIINGALII HII THREAD TATIZO NI MBIO ZA MWENGE WA RUSHWA KURUKA VIJIJI- MTANDAO WA FEDHA (RUSHWA). HATA WANASIASA UKIONA WANATOA MACHO SANAAA UJUE WAMEPITWA NA MWENGEE HUUU!!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA

sio kweli mkuu, mbona wanapelekwa lakini kwa msaada wa baba zao waliotajwa hapo juu,
wanafanyiwa mishe mishe na kurudishwa makao makuu, Namanga na kwingineko.
huko hakukalikia kamanda
 
Mimi nadhani, kama wengine walivyosema, kama wanafanya kazi waache wafanye kazi. Sasa mnataka tuwalete makabila madogo na hawajui kufanya kazi? sidhani kama ni busara kuwa simanzi kwasababu tu ni watu wa eneo moja;

na nafasi za serikali inategemeana na nani ameteuliwa kuongoza, kwahiyo ukitegemea kwamba uliletwa na huna uwezo its a matter of time before you are out of the door.
 
kama kuna ukwel utakuwa ni ujinga hata kama wewe ni chaga unatetea ila kwa kauchunguz kakijinga tu hawa jamaa na wenzetu wa kagera mmoja akishapata ukubwa utawakuta kibao c kwasababu et wameenda shule kushnda wengine nop! ila kaukabila huwa wanako. tuwe wakweli tusijifanye tunajua kutetea ujinga. kama huwamin chunguza CRDB
 
Mimi niko katika utumishi wa umma swala hili nimeliona sana. Na maoni yangu ni kama ifuatavyo:-

Kama katika kikao cha Mgt kwa ajili ya kuajiri watumishi wapya, kufanya uhamisho au kuchagua watakopata ufadhili wa masomo asilimia 75 ni wachagga, secrtariat ya kufanya kazi hiyo asilimia 75 ni wachagga, utumishi-scretariati ya ajira mkurugenzi anaehusika na masuala hayo ni mchagga unataegemea maamuzi gani iwapo majina ya kichagga yatajitokeza miongoni wa wanaomba kazi, uhamisho n.k. Kweli wachagga wamesoma lakini kwa hali ya sasa Jamhuri yetu ilipofikia population yao haiwezi kuwafunika watanzania wengine wote waliosoma. Cha msingi wapewe haki yao ila busara zitumike ili kuweka mazingira bora ya uwakilishi ehemu za kazi. Iwapo hali itaruhusiwa kuendelea itakuwa kama vile Kundi la simba kuona wana haki kabisa kumla swala au mnyama mwingine yeyote bila kujua kwamba kwa kushibisha matumbo yao wanasababisha maafa kwa wanyama wengine, lakini kwa sababu ili nao waish inabidi wale nyama ni haki yao. lakini tukumbuke sisi ni binadamu, tumepewa akili.
[/SIZE][/B][/COLOR]
 
sasa kama waliacha mabo ya kuchunga ng'ombe na kwenda shule ulitegemea nini!...hata kama ni probabilit random selection lazima wachaga wazidi angalia kama itaitwa kazi kuapply wachaga wangapi watajitokeza kwenye kazi za maana angalia ukitafuta walinzi na bar med wangapi wa kabila lako ulinganishe na wachaga tehe

Unafikiri kwa kutumia makalio ndugu yangu,mtu 70 wote warundikwe HQ.Sio bure kuna namna
 
Mkiambiwa kuna ukabila TZ mara moja mnakubali! mbona mkitajiwa udini na mfumo kristo mnashangaa! ukianza kula nyama ya binadamu hutaacha bali utaendelea kuila tu!
Mlianza kuwabagua Waislamu sasa mnaanza kujibagua kikabila! sasa iliyobaki ni kuchinjana tu!
 
unafikiri kwa kutumia makalio ndugu yangu,mtu 70 wote warundikwe hq.sio bure kuna namna

unatumia anus kufikiria hq ulitaka upelekwe hata kama huna vigezo...unazani ufanisi ni kama mtako kila mtu anayo...........
 
kama kuna ukwel utakuwa ni ujinga hata kama wewe ni chaga unatetea ila kwa kauchunguz kakijinga tu hawa jamaa na wenzetu wa kagera mmoja akishapata ukubwa utawakuta kibao c kwasababu et wameenda shule kushnda wengine nop! ila kaukabila huwa wanako. tuwe wakweli tusijifanye tunajua kutetea ujinga. kama huwamin chunguza CRDB

sasa wengine wameenda shule mmoja tu kwa msaada wa kijiji unategemea awajaze kina nani!?uchaguzi wa mwaka 2000 kulikuwa na candidate wa urais zaidi ya nusu wachaga 2005 hivyo hivyo....hoja zenu hazina tofauti na za waislam kubaguliwa....
 
nawaona pia katika shule na hosipitali!! naona waanze kuwarekebisha kuanzia shule!
 
sasa wengine wameenda shule mmoja tu kwa msaada wa kijiji unategemea awajaze kina nani!?uchaguzi wa mwaka 2000 kulikuwa na candidate wa urais zaidi ya nusu wachaga 2005 hivyo hivyo....hoja zenu hazina tofauti na za waislam kubaguliwa....

Kwa Waislamu mnasema hawajaenda shule! likija la ukabila na uchaga bado mnadai makabila mengine hayajasoma! sasa unamaana Wanafunzi wote wa nchi hii ni Wachaga?
 
NENDA SHULE MKU, ACHA MALALAMIKO. HAYO MAKABILA UNAYOYATAJA WAKO MBALI BWANA. NENDA BOSWANA UTAWAKUTA NI MAKONSALTANI MAHOSPITALINI NA KWENYE MIRADI YA KIMATAIFA. NENDA MAREKANI NA HATA CHINA. wAMESAMBAA DUNIANI SHAURI YA KULA KITABU. WEWE KALAGABAHO KWA MAWAZO FINYU YA KUONA UCHAGA TU. THINK BIG BWANA!!!!!!!!

JAPO CHUNGU SEMA;

Mtoa mada yupo sahihi ww unatetea kabila yeye anaelezea rushwa iliyokithiri Uhamiaji, Undugulaization Uhamihaji kupeana vyeo hata kama mtu hana Elimu ya Kutosha kama umemuelewa ww ni Mzigo kwa taifa Ndugu Kwani Palipo Na Ukweli Unapinga Jamaa katoa Na Ushahidi Wewe Unaleta Pumba Japo Kabila Lako Lakin Palipo Na Ukweli Sema,
 
chapeni kazi, anayeona hapandi juu kwa dhuluma alalamike kwanza binafsi kupitia vyombo vinanyohusika...mimi bado siamini ati tz ya leo mtu anaweza tu kupandishwa cheo au kupewa kazi kwa sababu tu ya kabila lake..huku wengine wote wenye sifa na ujuzi wa wazi wakikodoa macho...

Kwanini Isiwezekane?? Ndugu Taifa Limejaa Uozo Uliokithiri Nashukuru Hii Mitandao Inatupa Mengi Na Kufumbua Mengi
 
Back
Top Bottom