Waraka kwa wadada wa jf

stoooop
kabla hujajinyonga,tupe account namba zako usituachie shida duniani za kulea watoto wako.
 
Ndo wale wale anakunywa sumu baadae anatoa hela ya maziwa:smile-big::smile-big::smile-big:

ahahahahahh....tena anaongeza...kimbieni jamaniiiiiiiiiiiiiiiii...attention seekers...wakujinyonga hapeani warning!
 
mmh sor sikuion hii,lkn duh kazi uliyonipa ni ngum sana kumwambia umemkuta Rev bar?ooops will c wat to say ,shuka basi hapo juu
 
Sasa sikiliza nikwambie!Humu kuna warembo wakuotea mbali mi siwafikii hata kwa robo ya robo..kajina kangu tu kadogo..Senksi zangu za kuhesabu(senksi ni sawa na kukonyezwa..kusifiwa..na kuimbiwa kitaa)..Avatar ya kuazima kwa pacha wangu..maneno ya kukopi!Embu achana na mimi tafuta mtu wa ukweli..mwenye najua mimi sio saizi yako matokeo yake ni smol haus baadae!Du it fo mi kama unanipenda kweli!Wako daima Lizzy Uporoto !
Nilijuwa siku itafika sikujuwa ingekuwa haraka hivi,asante Liz.
 
Yes lizzy i love you too. Gbollin noma kakufungulia thread nyingine kule nafasi za kazi mwaka huu unalo mamii hahaha!
Hhahahah,....ngoja nikaone!!!!Alafu mmmmmm.....unanipenda pia kwani mi nakupenda?:A S 39:
 
Back
Top Bottom