Waraka kwa wadada wa jf

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Nikiwa na huzuni tele kwa kukatariwa ombi langu na LIZZYMIND "Lizzy" sasa nipo kwenye tawi la mti na kamba yangu shingoni tayari kwa kujiua, ila kabla sijajiua nawaomba mkamwambie Lizzy maneno yafuatayo. Firstlandy:- mwambie Lizzy nampenda sana, Rose1980:- mwambie Lizzy sikuli kwaajili yake, Pearl:- mwambie Lizzy nimemkuta REV bar na nyumba ndogo, Shosti:- mwambie Lizzy nitampa pasword yangu ya JF kuonyesha kuwa nampenda. Husninyo kasikilize Lizzy atakwambia nini kabla sijajitundika. Ni mimi nikupendae!!?
 
Haya sasa, kama kakukataa, kwa afya ya uhai wako, akili yako, nafsi yako na uzima wako. Najitokeza mimi badala yake. Unasema je??
 
nikiwa na huzuni tele kwa kukatariwa ombi langu na lizzymind "lizzy" sasa nipo kwenye tawi la mti na kamba yangu shingoni tayari kwa kujiua, ila kabla sijajiua nawaomba mkamwambie lizzy maneno yafuatayo. Firstlandy:- mwambie lizzy nampenda sana, rose1980:- mwambie lizzy sikuli kwaajili yake, pearl:- mwambie lizzy nimemkuta rev bar na nyumba ndogo, shosti:- mwambie lizzy nitampa pasword yangu ya jf kuonyesha kuwa nampenda. Husninyo kasikilize lizzy atakwambia nini kabla sijajitundika. Ni mimi nikupendae!!?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Sasa wewe tamwa ulienda kufanya nini? Ungekuja kwangu nikupe ushauri...

Unapenda vitu vigumu sana mkuu...
 
Me namtaka Lizzy kuz ndio msichana pekee ambae mtima wangu umemdondokea ila akiendelea kukataa naweza kukupa nafasi ya one week uni2lize mawazo.
 
GB nimekusikia baba!Tafadhali naomba uterekemke chini ya huo mti alafu ntakwambij kitu!
 
Haya sasa, kama kakukataa, kwa afya ya uhai wako, akili yako, nafsi yako na uzima wako. Najitokeza mimi badala yake. Unasema je??
LD hujamuelewa tuj amaa?amekata rufaa TAMWA na bado anasikilizia usamaria wa Lizzy
 
LD umepewa ka-chance ka siku 7 kama dose ya antibiotic uponyeshe mtima wake
 
duuuuhhhh
ndoo maana kakukataa..
utuambie mbinguni kukoje ukifika huko:amen:

"mtabaki mnaniombea alela mahali pema peponi kamanda"
"itakuwa huzuni kwa ndugu na masela safari yanga japofika kwenda ahera"

Peace.
 
LD umepewa ka-chance ka siku 7 kama dose ya antibiotic uponyeshe mtima wake

Wacha tu nijitolee, jamani Lizzy najitolea siku saba hizi kumuokoa jamaa. Fanya maamuzi sahihi na mazuri kwa ajili yake tafadhali.
 
Nimeenda kumsikiliza lizzy alichoniambia.....!!! Mmmh we acha tu.
Hebu usijinyonge kabla hajakupa rambirambi yako uende nayo.
 
Nimeenda kumsikiliza lizzy alichoniambia.....!!! Mmmh we acha tu.
Hebu usijinyonge kabla hajakupa rambirambi yako uende nayo.

Ha ha ha, najitolea siku saba husninyo, mwambie aendelee kumfikiria. Ajali uhai jamani.
 
Nimeteremka mama, hebu ninong'oneze
Sasa sikiliza nikwambie!Humu kuna warembo wakuotea mbali mi siwafikii hata kwa robo ya robo..kajina kangu tu kadogo..Senksi zangu za kuhesabu(senksi ni sawa na kukonyezwa..kusifiwa..na kuimbiwa kitaa)..Avatar ya kuazima kwa pacha wangu..maneno ya kukopi!Embu achana na mimi tafuta mtu wa ukweli..mwenye najua mimi sio saizi yako matokeo yake ni smol haus baadae!Du it fo mi kama unanipenda kweli!Wako daima Lizzy Masa!
 
Mimi nshaandaa sare ya mazishi,halafu unarudirudi hebu tekeleza haraka bwana tumalize mambo tuwahi kubeba boksi
 
Back
Top Bottom