Mimi naishi Bagamoyo, lakini nitachangia kwa maendeleo ya watu wa KinondoniMakonda hamuwezi mstahiki Meya wa Kinondoni hata akileta figisufigisu kwa kutaka kukwamisha juhudi zake za kuwasaidia wakazi wa DSM..Meya aachwe apige kazi awatumikie wananchi wenye uchu wa maendeleo