Ni afadhali kuongozwa na fisadi mmoja aliyetubu na kubadilika, ambaye atawatetea Watanzania kwa kuongozwa na kundi la watu wasafi, kulilko mtu mwenye hila mmoja aliyewekwa chambo ili aongozwe na rundo la mafisadi nyangumi walioko ccm. Mbona hamsemi mafisadi wa meremeta, kagoda, barabara, escrow, epa, n.k walioko ccm mmewafaya nini?
Tumia akili yako vizuri.
Ni afadhili kukaa na donge moja la maji chumbani kuliko kuishi kwenye shimo la choo.
Tunamchagua Lowasa chini ya UKaWA, kwa Tanzania mpya!.
Katika orodha ya mafisadi ya mwembeyanga aliyoisoma Slaa Kikwete ni namba moja na ameongoza miaka 10 na wewe umamshabikia miaka yote hadi Leo hii halafu unakuja na hoja za kijinga kiasi hiki.Hatuwezi kulilia Tanzania MPYA, SAFI na iliyokombolewa ikiwa tutaruhusu FISADI papa kukaa kwenye jumba letu la state house.
Hivyo basi, kama tunahitaji mema kwa nchi yetu, chaguo la pekee ni Magufuli tu.
Kuuza kwa nyumba hata Mimi sikuafiki na siwezi kukubaliana nako, hiyo ya barabara sub standard anachosema yeye anajenga kwa fedha zilizopo hawezi jenga autobahn na.kiasi cha bajeti anachopewa. Hiyo ya wakandarasi hewa mbona haivumi kama Richmond kama siyo kelele.za bafuni tu lowassa ana mtandao na.kama.mpinzani wake kale Bil 258 kweli pasingekalika hapa kwa coverage hiyo, ila so far kimya.
Kitu muhimu ni hiki ikiwa lowassa ametetemesha system ya ccm yenye dola itakua ya cdm iliyo changa? Lowassa ameshaibadilisha cdm so far kabla hata ya madaraka sasa wale wanaojiliwaza kwamba yuko pasafi hawana mantiki
Magufuli ana mapungufu ila kwa uzoefu wa ccm na.changamoto zilizopo za upinzani wameteua the best candidate na kazi itafanyika nchi itanyooka tofauti na pale mbinafsi kupindukia lowassa alipotuwekea kikwete na wote mkazuzuka kumchagua.
Of the two its logically clear that magufuli is better than lowassa kwa urais wa jamhuri.
watz tuna akili nyepesi sana rahisi kusombwa na propaganda nyepesi, chafu na siasa zetu tumejenga juu ya kuamini viongozi ambao wengi ni matapeli na walaghai Dr Slaa kawaeleza ukweli ndio mana mnatokwa mapofu tena kwa aibu hawa maharamia amewanika peupe pee, lazima mtaisoma namba mbowe kaujuza chama tena kwa aibu kubwa na fedhea ndio mwisho wa Chadema tulioingahikia miaka nenda rudi, tamaa imemponza Mbowe na wapga dili wenzake.
Dr Slaa utabaki shujaa wa vizazi vijavyo hata hawa wa muda huu wasipokuelewa, binafsi nimekuelewa tena mno.
Hatuwezi kulilia Tanzania MPYA, SAFI na iliyokombolewa ikiwa tutaruhusu FISADI papa kukaa kwenye jumba letu la state house.
Hivyo basi, kama tunahitaji mema kwa nchi yetu, chaguo la pekee ni Magufuli tu.
Kibaya-Kenya; Ninaona unanigombeza bila kuniambia wapi nimekosea.
Kuna sehemu umesikia nimemtukana Dr. Slaa?
Umesoma sehemu yoyote nimembeza au kudharau mchango wake katika ukombozi wa taifa?
Kabla hujajipa pressure na kuanza kutumia mishare yako vibaya bila kujua adui aliko, ni vizuri kwanza uwe unatafuta kuelewa, kuchanganua ndipo ufanye maamuzi.
1. UKWELI gani ambao Dr. Slaa kaueleza ambao wenzake hawakuusema au wameukataa ambao unauona una uzito kuliko nguvu ya CHADEMA na Misingi yake? Au ambao haukujulikana ndani na nje ya CHADEMA, UKAWA, Tanzania na nje ya mipaka yetu?
2. Wapiga dili unaowasema ni akina nani na dili lipi ikiwa CHADEMA na Slaa wote wanatestify kwamba walishirikiana katika maamuzi na Dr. Slaa ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa IDEA ya kumvuta Lowasa?
3. Ujio wa Lowasa ume compromise nini katika misingi na malengo ya CHADEMA na UKAWA?
4. Umeelewa kitu gani ambacho wengine unaona hawajakielewa katika yote aliyoyasema Kamanda Slaa?
Tafadhali naomba ujibu hoja kwa hoja ili tujadili bila jazba wala tufani.
Hey, umenitisha vile unagomba na mimi sijui nini nagombezwa nacho!.
Magufuli aliyepokea kijiti toka kwa jk,jk akipokea toka kwa Bm.kazi kweli kweliHatuwezi kulilia Tanzania MPYA, SAFI na iliyokombolewa ikiwa tutaruhusu FISADI papa kukaa kwenye jumba letu la state house.
Hivyo basi, kama tunahitaji mema kwa nchi yetu, chaguo la pekee ni Magufuli tu.
Mkuu umetumia vigezo gani kujua Kuwa alichoongea Slaa ni ukweli?isije Kuwa umeshindwa kutumia akili yako kutafakari bwanawatz tuna akili nyepesi sana rahisi kusombwa na propaganda nyepesi, chafu na siasa zetu tumejenga juu ya kuamini viongozi ambao wengi ni matapeli na walaghai Dr Slaa kawaeleza ukweli ndio mana mnatokwa mapofu tena kwa aibu hawa maharamia amewanika peupe pee, lazima mtaisoma namba mbowe kaujuza chama tena kwa aibu kubwa na fedhea ndio mwisho wa Chadema tulioingahikia miaka nenda rudi, tamaa imemponza Mbowe na wapga dili wenzake.
Dr Slaa utabaki shujaa wa vizazi vijavyo hata hawa wa muda huu wasipokuelewa, binafsi nimekuelewa tena mno.
kiongozi,ninaumia sana ninapotafakari kauli ya dr. Slaa, kuungana na mkapa kuwatukana vijana ambao wamefanya vile walivyo na utawala dharimu wa ccm bila ridhaa yao.
Imenisikitisha sana kuona namna vijana hawa walivyojitambua na jinsi walivyotayari kujitoa kwa hali ya mali kiasi hata cha kumwaga damu yao ili kulikomboa taifa kutoka mkoloni ccm, na ambao yeye dr. Anajitambulisha kuwatetea, jinsi dr. Alivyowageuka na kuwadharau.
Kweli wanawake hugeuza mioyo ya wafalme!.
Ninaita wito kwa vijana wangu, msiogope wala msifadhaike. Tulianza na mungu, tuko na mungu na tutamaliza na mungu.
Kwa umoja wetu, tunakwenda kuikomboa nchi. Tusiwaangalie wanaoshindwa njiani na wala wasitukatishe tamaa.
Tunasonga mbele hadi ukombozi umepatikana. Tanzania ni yetu na sisi ndio wenye nchi. Hatutakubali tena kuwa watumwa wa ccm ndani ya nchi yetu.
Tanzania is and shall always belong to tanzanians!.
Aluta kontinua, mapambano yanaendelea.
Peoplesssssssssssssssssssssssssss!.
Mkuu soma tena vizuri ulichoandika harafu na utagundua itakuwa ni hasara kubwa Kumpa nchi magufuli.kama ulivyo semantic ccm na serikali yake wamekuwa wakimuogopa Lowasa ?tuambie magufuli atamuweza vipi na hao wengine wamemshindwaje ?kule segerea watu wababe ndo huwa wanapewa madaraka unajua kwa nn?Kuuza kwa nyumba hata Mimi sikuafiki na siwezi kukubaliana nako, hiyo ya barabara sub standard anachosema yeye anajenga kwa fedha zilizopo hawezi jenga autobahn na.kiasi cha bajeti anachopewa. Hiyo ya wakandarasi hewa mbona haivumi kama Richmond kama siyo kelele.za bafuni tu lowassa ana mtandao na.kama.mpinzani wake kale Bil 258 kweli pasingekalika hapa kwa coverage hiyo, ila so far kimya.