Katika biblia kuna Mtu Mmoja aliitwa sauli, ambae ndio Mtume Paulo
Alikuwa muuaji na akiwatesa sana Wakristo, siku moja akakutana na Mungu akamwambia mbona unawatesa watu wangu, akambadili jina palepale akamwambia Tangu leo wewe ni Paulo, Uutangaze Ukristo
Tangu siku iyo huyu jamaa akabadilishwa ndio alitangaza ukristo haijawai tokea. Katika biblia ana vitabu Zaidi vitano kaandika. wagalatia, waefeso, wafilipi, watesalonike, wakolosai. nk nk
Muuaji aliekuja kuwa shujaa wa Ukristo.
Nakifananisha kisa hiki na story za kumuita Edward Lowasa fisadi, Sawa, yawezekana ni kweli, kama Paulo alivokuwa Muuaji, lakini Mungu amemuita Lowasa, asiwe tena Sauli Mtesaji na Muuaji bali (Paulo Mueneza ukristo).
Mungu hutumia wadhambi maana hajawai zaliwa malaika.
Lowasa, umetumwa na Mungu kutupeleka kaanani, TUTAFIKA.
Musa hakuiona kaanani lakn waisrael walirudi Nyumbani na walifika. Lowasa ameletwa kuturudisha Nyumbani. Tutafika.
Na haturud Misri.
Huyo fisadi katubu lini na nini? Hebu zinduka! Alafu ilani yenu ya Chadema na Ukawa iko wapi? Mmekubaliana nini na huyo fisadi wenu? Hujui lolote unashabikia tu!
What a hollow statement and a sad state of mind!
Ni afadhali kuongozwa na fisadi mmoja aliyetubu na kubadilika, ambaye atawatetea Watanzania kwa kuongozwa na kundi la watu wasafi, kulilko mtu mwenye hila mmoja aliyewekwa chambo ili aongozwe na rundo la mafisadi nyangumi walioko ccm. Mbona hamsemi mafisadi wa meremeta, kagoda, barabara, escrow, epa, n.k walioko ccm mmewafaya nini?
Tumia akili yako vizuri.
Ni afadhili kukaa na donge moja la maji chumbani kuliko kuishi kwenye shimo la choo.
Tunamchagua Lowasa chini ya UKaWA, kwa Tanzania mpya!.
Dr Slaa hakuwadharau usitake kupindisha na kumfanya Lowassa ndo watetezi wa wanyonge. Lowassa alisema atakuja na wabunge 50 na ndiyo nguvu yake kubwa kwani ataipasua CCM
Sasa anapoonyesha kuwa nguvu yake ni waendesha bodaboda tena asilimia kubwa wamehongwa kuja hapo ni dhahiri huyu Lowassa ni msanii.
So hebu ondoa your false indignation na usitake kupindisha kilichosemwa!
Hatuwezi kulilia Tanzania MPYA, SAFI na iliyokombolewa ikiwa tutaruhusu FISADI papa kukaa kwenye jumba letu la state house.
Hivyo basi, kama tunahitaji mema kwa nchi yetu, chaguo la pekee ni Magufuli tu.
No.3 na 4, kila mkutano au maelezo yana.maudhui yake na unamna ya kuwasilisha yaeleweke.kwa walengwa wake. Dr slaa hakupaswa kuongelea mabaya ya CCM kwenye mkutano ule.alikuja kutujuza kwa nn kaacha siasa za upinzani na uthibitisho wa zile tuhuma za aliyemsababisha aache hizo.siasa fullstop.
Wewe ungependa aseme hayo hiyo ni nafsi yako wengine wengi.wamemuelewa
Nyuma ya lowassa wapo akina nani, wanaomchangia na.kumpa hela za kuendelea kununua watu na media coverage. Watu safi akina lossy, mnyika watazidiwa nguvu tu na lowassa na watu wake hao waliojificha nyuma ya pazia na yatakua yale yale ya choo kunuka kama alivyosema slaa