Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
717
Reaction score
459
Nitumie fursa hii kukumbusha machache,,
Mosi
Rais wa awamu ya tano alichaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa mwaka 2015,uchaguzi ulijumuisha vyama vyote akina CHADEMA wakiwemo.Wananchi kupitia kura zao waliikataa CHADEMA na viongozi wao,njia sahihi na ya kidemokrasia ni kusubiri 2020.

PILI
Hoja ya watu kupotea na kuuwawa
Jamii yoyote popote ina uasi na mauaji.Tupac mmarekani alipigwa risasi,Lucky Dube alipigwa risasi,Tom mbuya wa kenya aliuwawa sababu hatujui hadi leo,Mwanamziki Jimmy Reeves alitunguliwa na ndege na mifano mingine mingi.Sikusikia wananchi wanaandama kuiondoa serikali kisa matukio haya ya kihalifu.Watu wanaweza uwawa kutokana na sababu tofauti tofauti ndani ya jamii,mfano mtu katembea na mke wa mtu,dhuluma,kugombania mashamba n.k utakuwa ni mtu usiekuwa na akili endapo utaihusisha serikali na mauaji yanayotokea katika jamii,kwa kifupi utakuwa una lako jambo unalotaka kulihalalisha hata kwa sababu za kutunga na za uasi dhidi ya serikali ya wananchi

TATU
Watu wanao okotwa
Hivi ukikuta mtu kafa njiani au kafichwa mahali ni serikali ndio inafanya hayo? Do you have brain? Yule mtu alokutwa kafa na kutupwa mto ndabaka juzi juzi ni serikali ilihusika? Yule ndugu alomuua mkewe na kumficha kwenye pango la mti singida ni serikali ilihusika?Mauaji yalikuwepo tangu zamani na hayaja anza leo.Maaskofu mna kila sababu ya kubeba lawama katika hili kwani mmesahau kazi yenu ya kuwafundisha watu kumrudia Mungu,badala yake mmekalia siasa ambayo sio wito wenu,,,

MWISHO
Hakuna haki iliyo minywa,ni ulafi wa madaraka na njaa ya tumbo ndio inasumbua baadhi ya wanasiasa

Jiulize,,
Kuna chama kinazuiwa kushiriki uchaguzi,,hapana

Uchaguzi wa 2015 kuna majimbo yalienda upinzani,,Ndio. Walishindaje kama hakuna haki?

Esther Bulaya alimshinda Wasira mahakamani,,,Ndio ni haki gani zaidi mnayo taka?

Vyama vya upinzani vina uhuru wa kufanya vikao? ,Ndio hata leo CDM wamekutana,,haki gani zaidi??

In short acheni kuivuruga serikali tuloichagua sisi,,subirini 2020,,
,,0712207633 Mzalendo Halisi,,Tanzania kwanza,,

LONG LIVE JPM:HAPA KAZI TU
 
Viongozi wa dini mnakera sana mnapokosoa serikali inayotimiza wajibu wake. Hivi nyie maaskofu mngekuwa ndo rais wa tanzania mngeruhusu kila upuuzi utokee ndani ya utawaka wenu?

Mwacheni magufuli apige kazi.
 
Huu waraka wako ni wa taasisi gani? Unadhani watu wanapolaumu hawajui wanalaumu au kupiga kelele kuhusu nini? Umetoa mifano ili kuficha nia yako ovu, bila kuua kwamba watu tunakuchora tu. Naona wote mnalazimisha cdm kila bandiko. Vyama viko vingi mbona hamvitaji hivyo wala kununua wanachama wao? Mmegeuka kuwa wajinga wote mnaleta maoni yenu yanayofanana kama vile kuna mahali yupo mtu mmoja anawaambia kisha nyie mnageuka vipaza sauti vyake.
 
Bawdhi ya Maaskofu hovyo kabisa kama wanataka siasa wajiunge na siasa waache uinjilisti na Utume
 
Viongozi wa dini mnakera sana mnapokosoa serikali inayotimiza wajibu wake. Hivi nyie maaskofu mngekuwa ndo mbrais wa tanzania mngeruhusu kila upuuzi utokee ndani ya utawaka wenu?

Mwacheni magufuli apige kazi.

Serekali itimize wajibu wake, na inapokosolewa pia ni sehemu ya huo wajibu wake. Kumbukeni wanaokosoa wana uelewa mpana wa mambo, hivyo wanachokikosoa wanafahamu wasemalo.
 
Nitumie fursa hii kukumbusha machache,,
Mosi
Rais wa awamu ya tano alichaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa mwaka 2015,uchaguzi ulijumuisha vyama vyote akina CHADEMA wakiwemo.Wananchi kupitia kura zao waliikataa CHADEMA na viongozi wao,njia sahihi na ya kidemokrasia ni kusubiri 2020.

PILI
Hoja ya watu kupotea na kuuwawa
Jamii yoyote popote ina uasi na mauaji.Tupac mmarekani alipigwa risasi,Lucky Dube alipigwa risasi,Tom mbuya wa kenya aliuwawa sababu hatujui hadi leo,Mwanamziki Jimmy Reeves alitunguliwa na ndege na mifano mingine mingi.Sikusikia wananchi wanaandama kuiondoa serikali kisa matukio haya ya kihalifu.Watu wanaweza uwawa kutokana na sababu tofauti tofauti ndani ya jamii,mfano mtu katembea na mke wa mtu,dhuluma,kugombania mashamba n.k utakuwa ni mtu usiekuwa na akili endapo utaihusisha serikali na mauaji yanayotokea katika jamii,kwa kifupi utakuwa una lako jambo unalotaka kulihalalisha hata kwa sababu za kutunga na za uasi dhidi ya serikali ya wananchi

TATU
Watu wanao okotwa
Hivi ukikuta mtu kafa njiani au kafichwa mahali ni serikali ndio inafanya hayo? Do you have brain? Yule mtu alokutwa kafa na kutupwa mto ndabaka juzi juzi ni serikali ilihusika? Yule ndugu alomuua mkewe na kumficha kwenye pango la mti singida ni serikali ilihusika?Mauaji yalikuwepo tangu zamani na hayaja anza leo.Maaskofu mna kila sababu ya kubeba lawama katika hili kwani mmesahau kazi yenu ya kuwafundisha watu kumrudia Mungu,badala yake mmekalia siasa ambayo sio wito wenu,,,

MWISHO
Hakuna haki iliyo minywa,ni ulafi wa madaraka na njaa ya tumbo ndio inasumbua baadhi ya wanasiasa

Jiulize,,
Kuna chama kinazuiwa kushiriki uchaguzi,,hapana

Uchaguzi wa 2015 kuna majimbo yalienda upinzani,,Ndio. Walishindaje kama hakuna haki?

Esther Bulaya alimshinda Wasira mahakamani,,,Ndio ni haki gani zaidi mnayo taka?

Vyama vya upinzani vina uhuru wa kufanya vikao? ,Ndio hata leo CDM wamekutana,,haki gani zaidi??

In short acheni kuivuruga serikali tuloichagua sisi,,subirini 2020,,

LONG LIVE JPM:HAPA KAZI TU
Shida kubwa ya Tanzania ni kuwa na watu wenye utapia mlo wa akili kama wewe..!
 
Viongozi wa dini mnakera sana mnapokosoa serikali inayotimiza wajibu wake. Hivi nyie maaskofu mngekuwa ndo rais wa tanzania mngeruhusu kila upuuzi utokee ndani ya utawaka wenu?

Mwacheni magufuli apige kazi.
Hivi kazi bila maarifa ni kazi au ni aina ya ukichaa.....
 
“Ni vita yetu sote, tukipata viongozi wabaya tunaumia wote, tukipata viongozi wazuri tutafurahi wote, kila mmoja aone kiu ya Tanzania hii kuwa nchi ya upendo,”

Mwenye akili ataelewa tu nini Askofu alikuwa anamaanisha

Viongozi wa dini mnakera sana mnapokosoa serikali inayotimiza wajibu wake. Hivi nyie maaskofu mngekuwa ndo rais wa tanzania mngeruhusu kila upuuzi utokee ndani ya utawaka wenu?

Mwacheni magufuli apige kazi.
Hovyo kabisa lione huna hata haya wewe unacheze na wapakwa mafuta
 
Utumbo mixer mashudu, mods toeni hii takataka empty kabisa..

Nimejikuta nakasirika mno juu ya uu upuuzi ulioandikwa
 
Hapa kazi tu,,
Mkuu serikali ina dhima ya kulinda aman, kwahiyo hata kama haijaua yenyewe basi italaumiwa kwa kushindwa kuwalinda, pia kuuawa kwa 2pac hakuhalalishi mauaji Tz.
Pia utambue kuwa vyama pizani sio uasi, vipo kisheria
 
Hapa kazi tu,,
Serikali haiajiri kwani vyuo na shule wanakohitimu hatupaoni tunaiona chadema kama ndo wamekabidhiwa nchi.
Tumechaguliwa kuongoza basi tuongoze tunaishitaki chadema kwa wananchi kwa lipi kwani chadema ina miaka mingapi ktk upinzani.
Tukiache hiki chama kiendelee kushamiri kwa wananchi kama tumeshindwa kuongoza mwisho chama chochote kitachukua nchi sio chadema tuu tunaipiga vita mpaka asiye mwanachama anaamua kukiunga mkono ili kuangalia kuna nini ndani yake
 
Bawdhi ya Maaskofu hovyo kabisa kama wanataka siasa wajiunge na siasa waache uinjilisti na Utume
Makonda kasema hawana madhara hao maaskofu musipanic kwani wanamadhara gani wakati hata magufuli amesema waombee viwanda what the fuse
 
Back
Top Bottom