Waraka kwa CCM na Wapinzani

Waraka kwa CCM na Wapinzani

huyu mtu mabandiko yake yote humu ni pumba kabisa,ukiwa gamba unakuwa mwoga kama nini!!!au hizo trip zako USA ni kwa hisani ya ccm?mkuu unaongea kama hubebi vinasaba vya mwalimu?the great Nyerere must be turning in his grave by the horror of your deliberate blindness.
 
Wapinzani wanahitaji tohara na unyago wa fikra wanayoyafanya sasa hivi si makusudi yao.
 
Wanasiasa wanafanya fujo kwa sababu wanajua jamii inawapa credit kutokana na kiasi cha kelele na fujo wanazofanya. Ili wanasiasa waanze kufanya mambo "ya akili" inapaswa jamii ianze kuwapa heshima kwa kipimo cha mazuri wanayofanya si vinginevyo.
 
Kaka yangu Andrew nakuheshimu sana kupitia jina jina kuu kupita yote ya watu wa Tanzania.Je umeamua kutukanwa? au kumtukanisha Baba wa taifa? Mimi nakushauri achana na ushabiki wa kisiasa za hapa TZ.CCM aliyoianzisha Mwlm sio hii.Hii ni genge la majambazi na haina maadili. kumbuka ni mara ngapi ktk siku zake za mwisho alikuwa akipiga nayo kelele za kuikosoa,kuanzia kukemea azimio la Zanzibar hadi kutungia kitabu cha kuisema CCM, kuilaumu kwa kuuza viwanda na matumizi ya rushwa kwenye chaguzi mbalimbali inaposhiriki CCM.Wapinzani hawafanyi fujo hivihivi tu kaka hii ni kutokana na uonevu.Hata Makaburu SA walikuwa waonevu namna hii ndipo wapigania Haki na Uhuhru wakaanzisha harakati za kujikomboa na MWALIMU alitoa mchango mkubwa katika ukombozi. Hata makaburu waliwaita akina MANDELA ni wafanya fujo kama vile wewe unavyomwona Lisu leo hii.Kaka dawa ya amani na utulivu popote Duniani ni HAKI na mahali popote pasipo na haki vurugu na fujo haziepukiki.
 
CCM na Wapinzani wamewasikitisha Watanzania wengi,kwa jinsi ambavyo wanazozana kila wakati na wanakosa muda wa kufanya mambo ambayo yanaweza kuwasaidia wananchi. Bunge ambako panatakiwa kuwa mfano mzuri wa tabia kwa wananchi tumeona kwamba pamekuwa mahala pa machafuko.
Ni kazi yao wabunge kuwawakikilisha wananchi na kutetea maslahi yao,lakini kwa nini wafanye hivyo kwa vurugu kubwa?Hawa wabunge hawafanyi mambo ambayo wananchi wangetarajia wafanye. Hata Wabunge watano tu au kumi wakifanya fujo Bunge lote inabidi liahirishwe.
Kwa hiyo, napendekeza Wabunge waache chuki an gadhabu,au kitu chochote hicho kinachofanya Bunge liahirishwe tena na tena,na wafanye kazi yao kwa kuwatumikia wananchi in a non-partisan manner,waliweke Tiafa kwanza. Wabunge wamechangamshwa sana nah ii ‘point of order’,mwongozo,they are making a fetish of it.
Ni ajabu kuwaona wabunge wa upinzani wanatoka nje ya Bunge. Huyu Tundu Lissu ameshinda appeal yake juzi,alikuwa analia machozi ya furaha,leo hii yeye ndiye kinara wa kuwaongoza wenzake watoke ndani ya Bunge. Kitu gain kinarekebishwa kwa kukiacha katika hali yake ya kuharibika? Kama kitu kimeharibika,you have to stay there and fix it.
Kwa hiyo mimi napinga kukitoroka kitu chochote kilichoharibika. Kitu kilichoharibika,kitengeneze,be a part of it and fix it from within the system.

Kaka Andrew,

Yaaani a busara na umri wako wote hujajuwa tatizo la bunge letu la sasa ni nini? Really? au na wewe umekuwa na partisan attitude? Ni spika na naibu wake! Bila hawa bunge halingekuwa lilivyo hivyo

Wasalam
SNS
 
Andrew Nyerere umeficha kichwa uvunguni wakati kiwili wili chote kiko nje na unahisi watu hawakuoni????????????????
 
Andrew Nyerere umeficha kichwa uvunguni wakati kiwili wili chote kiko nje na unahisi watu hawakuoni????????????????
 
Back
Top Bottom