Waraibu wengi ni wanaume

Waraibu wengi ni wanaume

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Rais Samia akizungumzia juu ya uraibu wa dawa za kulevya imebainika kuwa wanaume wengi ni waraibu ukilinganisha na wanawake. Amesema mwaka 2018 waraibu 1600 walisajiriwa. Na hali ilivyo hivi sasa waraibu wanaohudumiwa ni zaidi ya 2000 ambapo wanawake ni hawazidi 150 na wanaume ni zaidi ya 2000.

Wengi wa watu wanaokuta na uraibu wa dawa za kulevya ni vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa.

Rais ameyasema hayo katika kilele cha mbio za Mwenge, Kaitaba mkoani Kagera.
 
Na Waraibu wa moshi wa Mwenge ni milloni sitini.

Sijui lini watazinduliwa?
 
Back
Top Bottom