YEYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!mam'aaa la CARMEL!HERE TO STAY!btw ulinifurahisha sana na utaalamu wako wa kuongea na wanyama pori
mimi nilidhani wewe ni yule waliotaka kumpiga mawe jizasi AKAMUOKOA KWA KUANDIKA CHINI
mimi nilidhani wewe ni yule waliotaka kumpiga mawe jizasi AKAMUOKOA KWA KUANDIKA CHINI
Yule wa: ASIYEKUWA NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUMRUSHIA JIWE? Mpwaaaaaz! Bible imo humu, basi tu serengeti hizi zimekaa uchi.
carmel hapo umemkuna goeff, like nyumba ndogoz and ving'ang'anizi like kaz za nje....lakini zenyewe mpwa ndo anazin'gang'nia
kaizer alisema eti historia inaapply hapo kwenye wanawake kuogopa nyoka.....Ila anavyoogopa nyoka, mpaka leo najiuliza! Unaongea na chui lakini unamkimbia nyoka! LOL!
Iribini chagua kimoja hapo
choose one and only oneBible on Sunday Morning and Serengeti the rest of the time!
kaizer alisema eti historia inaapply hapo kwenye wanawake kuogopa nyoka.....
We unamwogopa nyoka?
Mchumba mambo ya kichina haya,au huyapendi? sema mpenzi,nipo tayari kuchange kwa ajili yako.Hahaha! Nambie mchumba, hiyo avatar ndo effect ya mambo ya kichina? LOL! Mchumba umeamua kumpokea Yesu X-mass hii kwa mbwembwe kweli!
We unamwogopa nyoka?
Gona be nice.cant wait,ready to support.
point of correction,nyoka hatumuogopi.Sisi tunamponda KICHWA na yeye kaambiwa atatuponda KISIGINO.sasa nani zaidi?