Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,853
- 99,860
Kuingia kwa pupa?How?Mfumo uliwahitaji for the time being halafu wakabaki na maisha yao.Kwani unawadai?Hawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?
Alisukuma Hiyo Ndinga Sana SanaMzee wa Nipo Busy..
Udc alienda tu
Ila wakina mwanukuz wako
Vzr,bi mkubwa wake kaawacha
Njema....huoni hangaiki na vyeo tena
Dada yake analima mboga-mboga Bagamoyo
Nilikuwa naongea na dada mmoja maarufu akaniuliza," Vipi huna ndugu yako wa kike anahitaji ukuu wa wilaya? Maana nina connection ya kupata hizo nafasi" Hiyo ndo Tanzania yetuKweli kabisa. Siku hizi Udc umeshuka Sana hadhi imekuwa sehemu ya fadhila na kupunguza njaa kwa wliotemwa.
Sugu alikuwa anakula hapo na ndiye aliyemsaidia kupata ubunge wa East Africa.Hapana Alikuwa Jafarai Haa
Yeah!....siasa zimebadili mengiKweli kabisa. Siku hizi Udc umeshuka Sana hadhi imekuwa sehemu ya fadhila na kupunguza njaa kwa wliotemwa.
MmhAsante kwa kuweka sawa
Wapo home wamechiliHawa waliingia siasa Kwa pupa na kuabudu baadae mfumo umewatema bila huruma Wapo wapi Kwa sasa?