Wapo waliochukua mkopo kwa kutumia taarifa za marehemu

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,659
3,576
Hali ilikuwa imefikia pabaya mno na Serikali ilikuwa inapata hasara kubwa zaidi ya watumishi hewa.

Kuna watu walikopa mkopo benki kwa kutumia salary slip za marehemu na ina maana kama kusingefanyika uhakiki marehemu huyo angeendelea kukipa mkopo huo sijui mpaka lini nilistuka sana kusikia hilo lakini ndiyo hivyo limetokea katika Wilaya ya Mbogwe.

Swali la kujiuliza ikiwa utaratibu wa kupatiwa mkopo ni mpaka mwajiri asaini na Wakurugenzi wameibeba dhamana hiyo kwa msingi huo Mkurugenzi ana taarifa zote za Watumishi waliopo chini yake swali la kujiuliza ni kweli alikuwa hana taarifa za kifo cha huyo Mtumishi au ni HUJMA?

Naunganisha dots kama uhakiki usingefanyika kuna SARAKASI nyingi sana za muundo huu au tofauti na hizi zingekuwa zikiendelea kupigwa kwa madoido ya aina yake.

KUMBE ZAIDIBYA UWEPO WA WATUMISHI HEWA KULIKUWA NA UWEZEKANO MKUBWA WA KUWATUMIA WATUMISHI HEW KULIINGIZIA TAIFA HASARA ZAIDI.
 
Semina elekezi kati ya Walimu Kaimu Mkugenzi katibu wa Tsd na Viongozi wa Chama cha Walimu Mkoa iliyofanyika tar17 kwenye ukumbi wa Mang'ombe
 
Back
Top Bottom